saichy kinyurura
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 112
- 26
Wako wabunge wengi waliokaa kwenye majimbo yao miaka 20 na hawajaweza kutekeleza ahadi zao yy amekaa muda gani? Na ccm waliongoza Arusha Mjini miaka mingapi na walifanya nini?
Hicho ni kiashiria tosha cha kupoteza mvuto mbele ya umma na sasa Lema anaweweseka tu, kituko kikubwa cha Lema ni kuwaambia wana-Arusha mjini kuwa ile ahadi ya Machinga complex ilikuwa ni muhemko wa uchaguzi baada ya kuona hawezi itimiza
Wako wabunge wengi waliokaa kwenye majimbo yao miaka 20 na hawajaweza kutekeleza ahadi zao yy amekaa muda gani? Na ccm waliongoza Arusha Mjini miaka mingapi na walifanya nini?
Kiukweli kwa sasa lema hana tena ule mvuto wa awali. na hata km atashinda uchaguzi, siyo kwa kiwango alichoshindia 2010, na zipo sababu nyingi tu, zikiwemo ahadi za uongo alizowahi kuwaahidi wanaarusha kuwa atawaletea ambulance, na yy aliwahi kutamka majukwaani kuwa alizipata ambulance 2 alipokwenda London, na kuna taarifa kuwa baada ya hizo ambulance kuingia nchini alikuja kuziuza. Kuna ahadi alizowaahidi akina mama kuwa angeliwapa mikopo nafuu utakaotokana na pesa atakazopewa kwa ajili ya kununulia gari la mbunge lkn hadi leo hii hakufanya hivyo. Ss unadhani kwa mtindo huo nani atakaeendelea kumuamini? Kauli zake pia zimekuwa zikionyesha dharau na kiburi kwa wapiga kura wake. Cha msingi anatakiwa arudi kwenye mstari.
Ndugu wana JF lema ameitisha mkutano wa hadhara leo katika viwanja vya Ngarenaro hapa Arusha.
Miongoni mwa mambo yaliyonisisimua ni kuona magari 3 ya matangazo yakipita mtaani kutangaza mkutano huo huku kukiwa na bodaboda zilizo na bendera zikifuata,
Nimesisimuka kwa kuwa huko nyuma sikuwahi kushuhudia LEMA ambaye namjua ni kipenzi cha wana ARusha akitumia nguvu kubwa kutangaza mikutano yake,zamani gari moja tu lilitosha kufikisha ujumbe na watu wakafika leo ni maajabu.
Lakini kwanini LEMA anatumia nguvu kubwa kiasi hiki?kwanza tufahamu sote LEMA ampoteza mvuto kwa wapiga kura wake hasa kutokana na mambo aliyoyafanya hapa Arusha kama kushindwa kutekeleza ahadi alizohaidi kama kuwajengea wamachinga wa ARusha jengo la machinga complex,kujenga hospitali ya mama na mtoto(kuna sintofahamu kwamba kiwanja alichopewa na marehemu Nyaga Mawalla amekinywa yeye na mkewe),ambulance,trekta, pamoja na kushindwa kuwasomesha watoto waishio katika amzingira magumu pamoja na yeye kuhitisha harambee baada ya tu kuchaguliwa kuwa mbunge ambapo alifanikiwa kukusanya zaidi ya milion 32 na ahadi ya milioni 50 katika hoteli ya MT MERU kupitia taasisi yake aliyoianzisha na ELFURAHA MTOWE wa VODACOM ARUSHA.
Lema ana majibu mengi kwa wapiga kura wake,ana majibu kuhusu vurugu za maandamano katika jimbo la ARusha ambalo kwa kiasi kikubwa limeshikiliwa na watu wa kabila la WACHAGA ambao ndio wana hold uchumi wa Arusha.
Mkutano wa leo tunasikia ameitisha baada ya presha kubwa ya vijana wakiongozwa na RASHID SCHUBET huyu alikwuan swahiba wa LEMA wakati wanapigania ubunge wa Arusha mjini.
SCHUBET kuna taarifa ndiye anayeoongoza mashambulizi dhidi ya LEMA hapa Arusha na hata lile tamko la kumkataa na kumpinga LEMA yeye ndiye alikuwa ndiye KEY PERSON.
LEMA wakati akienda kufanya mkutano leo ana kabiliwa na upinzani mkubwa ndani ya chama chake na nje pia kwani hata madiwani wa CHADEMA hapa Arusha wakiongozwa na EFATHA NANYARO HAWAMKUBALI kwa kiasi kikubwa wanamzungumza vibaya sana mmoja nilimsikia akisema ARusha haina mbunge huyu ni MSOFE naibu meya wa jiji la Arusha kazi ipo.
LEMA ana majibu mengi kwa wapiga kura wake ambao safari hii wamekuja na kauli mbiu isemayo"TUTAENDELEA KUICHAGUA CHADEMA LAKINI SI LEMA"kazi ipo