Lema anatumia nguvu kubwa kuitisha mkutano leo tofauti na zamani kwanini?

Wako wabunge wengi waliokaa kwenye majimbo yao miaka 20 na hawajaweza kutekeleza ahadi zao yy amekaa muda gani? Na ccm waliongoza Arusha Mjini miaka mingapi na walifanya nini?
 
Hicho ni kiashiria tosha cha kupoteza mvuto mbele ya umma na sasa Lema anaweweseka tu, kituko kikubwa cha Lema ni kuwaambia wana-Arusha mjini kuwa ile ahadi ya Machinga complex ilikuwa ni muhemko wa uchaguzi baada ya kuona hawezi itimiza

mm cjajua Kama nawe Ni machinga au maana machinga hao hao wanamkubali sana chalii wao.Kawaulize tu utagundua ulichopost hapa Ni utumbo.Utabaki unabwabwaja kwenye mtandao.Jibu Oct.25
 
Wako wabunge wengi waliokaa kwenye majimbo yao miaka 20 na hawajaweza kutekeleza ahadi zao yy amekaa muda gani? Na ccm waliongoza Arusha Mjini miaka mingapi na walifanya nini?

Kanywe kiroba ntalipa, yani kwa sababu wengine hawajatekeleza ndo Lema asiambiwe? Kuna mwenzake Form IV pale musoma mjini pia anaitaji kuwajibishwa kwa ulaghai
 
Amefanya hivyo kwa kuwa anasherehekea kuapishwa kabla ya uchaguzi. Hivi Ccm mmekisa mtu mwadilifu wa kupambana na Lema hadi mna muwekea mwizi wa mali za umma?? Kama ameanza kuiba hajawa mbunge je akiwa mbunge itakuwaje??? Mara hii hamna kamoeni Arusha
 
Kiukweli kwa sasa lema hana tena ule mvuto wa awali. na hata km atashinda uchaguzi, siyo kwa kiwango alichoshindia 2010, na zipo sababu nyingi tu, zikiwemo ahadi za uongo alizowahi kuwaahidi wanaarusha kuwa atawaletea ambulance, na yy aliwahi kutamka majukwaani kuwa alizipata ambulance 2 alipokwenda London, na kuna taarifa kuwa baada ya hizo ambulance kuingia nchini alikuja kuziuza. Kuna ahadi alizowaahidi akina mama kuwa angeliwapa mikopo nafuu utakaotokana na pesa atakazopewa kwa ajili ya kununulia gari la mbunge lkn hadi leo hii hakufanya hivyo. Ss unadhani kwa mtindo huo nani atakaeendelea kumuamini? Kauli zake pia zimekuwa zikionyesha dharau na kiburi kwa wapiga kura wake. Cha msingi anatakiwa arudi kwenye mstari.

Kwa moyo kwa chuki mtaipenda tu.,...
 
Hakuna mmbunge aliemaliza kutekeleza ahadi kwenye jumbo lake, bajet ya ...15/16 zile 22 NA ushee ni T 5 tu ndizo za maendeleo sasa ahead utatekeza vipi kwa style hii....
 
kweli leo nimeamini ule usemi wa NABII HAKUBALIKI NYUMBANI.
pamoja na harakati zote anazozifanya bwn GODBLESS lema katika kutetea haki za watu wa Arusha eti leo hii mnamkandia???
Sisi huku wengine mbunge wetu tangu tulipompa ridhaa ya kutuwakilisha bungeni mwaka 2010,juzi ndio kaonekana jimboni kwa ajili ya kuomba tena ridhaa.tungempata huyo lema tungeringa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaijua vzr R. chuga yaani jiwe na ccm tunaenda kwenye jiwe hata mumlete mkuu wenu saa 10morn tunasherehekea ushindi.
 
Ndugu wana JF lema ameitisha mkutano wa hadhara leo katika viwanja vya Ngarenaro hapa Arusha.

Miongoni mwa mambo yaliyonisisimua ni kuona magari 3 ya matangazo yakipita mtaani kutangaza mkutano huo huku kukiwa na bodaboda zilizo na bendera zikifuata,

Nimesisimuka kwa kuwa huko nyuma sikuwahi kushuhudia LEMA ambaye namjua ni kipenzi cha wana ARusha akitumia nguvu kubwa kutangaza mikutano yake,zamani gari moja tu lilitosha kufikisha ujumbe na watu wakafika leo ni maajabu.

Lakini kwanini LEMA anatumia nguvu kubwa kiasi hiki?kwanza tufahamu sote LEMA ampoteza mvuto kwa wapiga kura wake hasa kutokana na mambo aliyoyafanya hapa Arusha kama kushindwa kutekeleza ahadi alizohaidi kama kuwajengea wamachinga wa ARusha jengo la machinga complex,kujenga hospitali ya mama na mtoto(kuna sintofahamu kwamba kiwanja alichopewa na marehemu Nyaga Mawalla amekinywa yeye na mkewe),ambulance,trekta, pamoja na kushindwa kuwasomesha watoto waishio katika amzingira magumu pamoja na yeye kuhitisha harambee baada ya tu kuchaguliwa kuwa mbunge ambapo alifanikiwa kukusanya zaidi ya milion 32 na ahadi ya milioni 50 katika hoteli ya MT MERU kupitia taasisi yake aliyoianzisha na ELFURAHA MTOWE wa VODACOM ARUSHA.

Lema ana majibu mengi kwa wapiga kura wake,ana majibu kuhusu vurugu za maandamano katika jimbo la ARusha ambalo kwa kiasi kikubwa limeshikiliwa na watu wa kabila la WACHAGA ambao ndio wana hold uchumi wa Arusha.

Mkutano wa leo tunasikia ameitisha baada ya presha kubwa ya vijana wakiongozwa na RASHID SCHUBET huyu alikwuan swahiba wa LEMA wakati wanapigania ubunge wa Arusha mjini.

SCHUBET kuna taarifa ndiye anayeoongoza mashambulizi dhidi ya LEMA hapa Arusha na hata lile tamko la kumkataa na kumpinga LEMA yeye ndiye alikuwa ndiye KEY PERSON.

LEMA wakati akienda kufanya mkutano leo ana kabiliwa na upinzani mkubwa ndani ya chama chake na nje pia kwani hata madiwani wa CHADEMA hapa Arusha wakiongozwa na EFATHA NANYARO HAWAMKUBALI kwa kiasi kikubwa wanamzungumza vibaya sana mmoja nilimsikia akisema ARusha haina mbunge huyu ni MSOFE naibu meya wa jiji la Arusha kazi ipo.

LEMA ana majibu mengi kwa wapiga kura wake ambao safari hii wamekuja na kauli mbiu isemayo"TUTAENDELEA KUICHAGUA CHADEMA LAKINI SI LEMA"kazi ipo

Taarifa nzuri lakini inatia wasiwasi wa kua na personal motive...
 
Siasa za sasa zinawataka viongozi kuwajibishwa. Kama wameahidi na hawajatekeleza tumia kikatio chako vyema.
Katilia mbali bhana

Kila siku tunaambiwa humu JF na kina Mungi kuwa Arusha hamna CCM sasa hii mikutano ya nini kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom