Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,161
- 10,008
Bramo kama sijamuelewa vizuri Mkubwa Petro basi namtaka Radhi!
Amani ya Bwana iwe nawe Mkuu
cc Petro E. Mselewa
Bramo kama sijamuelewa vizuri Mkubwa Petro basi namtaka Radhi!
TAHADHALI IKIKUKWAZA ACHANA NAYO.
Wakuu habri ya Sikukuu?,natumaini hamjambo wote,kwa wale wagonjwa poleni mungu atawasaidia mtapona. Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia siasa za Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema,na kujiuliza maswali mengi mengine nimejkuwa sipati majibu hata kidogo.
sasa na wewe unatuletea ujinga wako unatafuta umaarufu humu ndani????Unatafuta umaarufu kwa Mulongo na shishiem yenu????:behindsofa: Hapa hakuna kulemba ni kazi kazi tu!!!!!
Kama unaona anatafuta umaarufu jaribu na wewe uone kama kazi ni nyepesi kiasi hicho!!!!!!!!!!!!!Wewe si unajipatia kaumaarufu kwa Ridhiwani
Tafadhalini naomba tujadili hili kwa uungwana mkubwa ili tusije tukaondoa maana halisi ya maudhui yangu,Tangu kuingia kwake madarakani Arusha hakujatulia,kila siku ni migogoro na vurugu ambazo mwisho wake ni lazima mtu apotee maisha!. Kwa wale wenye kumbukumbu sahihi mtakubaliana na mimi kwamba katika uongozi wake watu si chini ya wanne wamekwishapoteza maisha kutokana na vurugu,sitaki kuingia kwa undani juu ya hili lakini kwa wale wenye kumbukumbu nadhani mnalitambua.
Ni huyu huyu Lema ambaye amejikuta mara kadhaa akitolewa Bungeni kama si kukwazana na viongozi kadhaa ndani ya Bunge kutokana na maneno yake kadha wa kadha haijalishi iwe kweli ama si kweli,lakini yametokea!. Mara nyingi nimekuwa pia nikufuatilia kauli zake kwenye mikutano mbalimbali ya hadhara,ukisikiliza kwa makini uangundua kwamba Lema ni Mtata,ni mtu ambaye anaonekana kukata tamaa ya maisha na sasa kujaribu kutumia njia za mkato ikiwemo jazba kutafuta ufumbuzi.
Nimemsikia mara nyingi sana akithibitisha kwamba hapndi kuonewa na pale anapobaini kwamba anataka ama ameonewa basi ni lazima asimame kidete kujitetea ama kutetea haki yake,hili ni jambo ni sahihi na namuunga mkono,lakini tunatofautiana katika kuidai hii haki,yeye anatumia nguvu kubwa zaidi. Kuna viongozi wengi sana ambao ukiwatizama wamefanya mambo makubwa na mazito katika kuhakikisha kwamba wanajitetea ama kuwatetea na wengine ama wale wanaowaongoza,lakini wamekuwa wakitumia hoja ambazo mwisho wa siku zinaleta mana halisi.
Kwa mfano yupo JOHN MNYIKA,ZITTO KABWE,DK.SLAA,HALIMA MDEE,na wengineo wengi wa leo,jana na juzi,lakini hatuawahi kusikia vurugu kwenye maeneo yao wala watu kuuawa,nilitegemea kwamba Baada ya Lema kurudi Bungeni na kwa sababu amekiangusha chama kikubwa kama CCM angetulia na kujaribu kuwaonyesha watanzania kwamba yeye ni mtu wa namna gani katika nchi hii,lakini matarajio yangu yamekuwa tofauti.
Ndiyo mana nashawishika kuamini kwamba pengine Lema anatafuta umaarufu kutokana na hivi vituko vyake vya kila siku!,lakini ni vituko ambavyo vinaanza sasa kumfanya adharaulike katika jamii,kwa sababu watu wanaanza kuzoea kwamba LEMA ni wa vurugu. Ombi langu kama Lema atatoka na kurejea tena mitaani,kuna haja ya viongozi wa CHADEMA kukutana nae na kujaribu kuzungumza nae,mbona wenzake wanakua na hoja na zinapenya na kupokelewa vizuri na jamii?!,kwa nini aisijifunze kwa wenzake.
Mwisho hakuna mtu anayependa kuonewa hapa Duniani,hata mtoto mdogo ambaye bado ananyonya akiona mama yake anamsumbua sana kwenye titi huwa anapiga ngumi ama kuficha na kupiga mateke kuashiria kwamba hapendezwi na yanayojitokeza.Narudia Lema akitoka salama Polisi na kurejea mitaani aachane na hizi vurugu akae na wananchi wake wafanya shughuli za maendeleo,naamini wameshaelewa madhumuni yake.
Kwasisi Wakatoliki tunasema Iwe pia Rohoni Mwako!Amani ya Bwana iwe nawe Mkuu
cc Petro E. Mselewa
Tangu lini wewe ukakubalina na kazi ya Lema na MaCDM? Wewe huwa ni kushadadia tu,Ridhiwani akikutoa na chai ya chai ya new africa hotel basi akili yako inaruka kabisa
Jiografia uliyopasi wewe ndio ilikufundisha watu kuanzisha nchi baharani?......FYI nilipata B O level mwaka 1979 na A ya A level...sijui hata kama ulikuwa umezaliwa
Tatizo lake ni lipi siku ile?kama hujaona tatizo la lema, utakua na tabia kama zake, either ganja kwa sana au viroba mkuu
Mkuu, Hao Jamaa wala wasikuumize KichwaNimetoka kwenye ban aliyonisababishia mtu mwenye magonjwa mengi humu jamvini! sasa huyu tahahira anataka nirudi huko! unawaitaje wenzako machizi? MOD be fair! kabla sijatoka ngoja nikwambie. SELUROPE YOU!
sifa za kijingaMkuu, Hao Jamaa wala wasikuumize Kichwa
https://www.jamiiforums.com/complai...al-na-vijana-wa-lumumba-jf-2.html#post6231832
kule ni hollywood wale ni wasanii na hapa hatujadili wasanii tuna jadili anacho kifanya lema:
hakuna jimbo,nchi yeyote duniani ambayo inachagua viongozi wake ili waje kujitafutia umaarufu unless anakua amewafanyia wananchi wake kazi waliyo mtuma kuifanya.lakini ukijaribu kumuangalia lema BUNGENI hayupo kwanini?ni kutokana na vurugu zake za ajabu ajabu ukijaribu kuangalia mikutano na vikao vyote vya bunge vilivyo kaa tangu achaguliwe vinahesabika!
NINI MAANA YAKE??
.HUYO NI KIONGOZI WA KULIONGOZA JIMBO KAMA ARUSHA MJINI'???
Mkuu Wabhe na wakuu wote wa hapa JF heshima mbele.Wabhe with all due respect naomba nikufafanulie mambo kadhaa.kwanza,neno umaarufu sio jina au cheo ambacho mlengwa anajipachika mwenyewe.ni status ambayo(kwa Mh Lema) wananchi wamempachika kutokana na mambo anayoyafanya akiwa kama mbunge.Lema anachofanya ni kutetea anachokiamini then wananchi ndio wanaompa hiyo status ya umaarufu.TAHADHALI IKIKUKWAZA ACHANA NAYO.
Wakuu habri ya Sikukuu?,natumaini hamjambo wote,kwa wale wagonjwa poleni mungu atawasaidia mtapona. Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia siasa za Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema,na kujiuliza maswali mengi mengine nimejkuwa sipati majibu hata kidogo.
Tafadhalini naomba tujadili hili kwa uungwana mkubwa ili tusije tukaondoa maana halisi ya maudhui yangu,Tangu kuingia kwake madarakani Arusha hakujatulia,kila siku ni migogoro na vurugu ambazo mwisho wake ni lazima mtu apotee maisha!. Kwa wale wenye kumbukumbu sahihi mtakubaliana na mimi kwamba katika uongozi wake watu si chini ya wanne wamekwishapoteza maisha kutokana na vurugu,sitaki kuingia kwa undani juu ya hili lakini kwa wale wenye kumbukumbu nadhani mnalitambua.
Ni huyu huyu Lema ambaye amejikuta mara kadhaa akitolewa Bungeni kama si kukwazana na viongozi kadhaa ndani ya Bunge kutokana na maneno yake kadha wa kadha haijalishi iwe kweli ama si kweli,lakini yametokea!. Mara nyingi nimekuwa pia nikufuatilia kauli zake kwenye mikutano mbalimbali ya hadhara,ukisikiliza kwa makini uangundua kwamba Lema ni Mtata,ni mtu ambaye anaonekana kukata tamaa ya maisha na sasa kujaribu kutumia njia za mkato ikiwemo jazba kutafuta ufumbuzi.
Nimemsikia mara nyingi sana akithibitisha kwamba hapndi kuonewa na pale anapobaini kwamba anataka ama ameonewa basi ni lazima asimame kidete kujitetea ama kutetea haki yake,hili ni jambo ni sahihi na namuunga mkono,lakini tunatofautiana katika kuidai hii haki,yeye anatumia nguvu kubwa zaidi. Kuna viongozi wengi sana ambao ukiwatizama wamefanya mambo makubwa na mazito katika kuhakikisha kwamba wanajitetea ama kuwatetea na wengine ama wale wanaowaongoza,lakini wamekuwa wakitumia hoja ambazo mwisho wa siku zinaleta mana halisi.
Kwa mfano yupo JOHN MNYIKA,ZITTO KABWE,DK.SLAA,HALIMA MDEE,na wengineo wengi wa leo,jana na juzi,lakini hatuawahi kusikia vurugu kwenye maeneo yao wala watu kuuawa,nilitegemea kwamba Baada ya Lema kurudi Bungeni na kwa sababu amekiangusha chama kikubwa kama CCM angetulia na kujaribu kuwaonyesha watanzania kwamba yeye ni mtu wa namna gani katika nchi hii,lakini matarajio yangu yamekuwa tofauti.
Ndiyo mana nashawishika kuamini kwamba pengine Lema anatafuta umaarufu kutokana na hivi vituko vyake vya kila siku!,lakini ni vituko ambavyo vinaanza sasa kumfanya adharaulike katika jamii,kwa sababu watu wanaanza kuzoea kwamba LEMA ni wa vurugu. Ombi langu kama Lema atatoka na kurejea tena mitaani,kuna haja ya viongozi wa CHADEMA kukutana nae na kujaribu kuzungumza nae,mbona wenzake wanakua na hoja na zinapenya na kupokelewa vizuri na jamii?!,kwa nini aisijifunze kwa wenzake.
Mwisho hakuna mtu anayependa kuonewa hapa Duniani,hata mtoto mdogo ambaye bado ananyonya akiona mama yake anamsumbua sana kwenye titi huwa anapiga ngumi ama kuficha na kupiga mateke kuashiria kwamba hapendezwi na yanayojitokeza.Narudia Lema akitoka salama Polisi na kurejea mitaani aachane na hizi vurugu akae na wananchi wake wafanya shughuli za maendeleo,naamini wameshaelewa madhumuni yake.
TAHADHALI IKIKUKWAZA ACHANA NAYO.
Wakuu habri ya Sikukuu?,natumaini hamjambo wote,kwa wale wagonjwa poleni mungu atawasaidia mtapona. Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia siasa za Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema,na kujiuliza maswali mengi mengine nimejkuwa sipati majibu hata kidogo.
Tafadhalini naomba tujadili hili kwa uungwana mkubwa ili tusije tukaondoa maana halisi ya maudhui yangu,Tangu kuingia kwake madarakani Arusha hakujatulia,kila siku ni migogoro na vurugu ambazo mwisho wake ni lazima mtu apotee maisha!. Kwa wale wenye kumbukumbu sahihi mtakubaliana na mimi kwamba katika uongozi wake watu si chini ya wanne wamekwishapoteza maisha kutokana na vurugu,sitaki kuingia kwa undani juu ya hili lakini kwa wale wenye kumbukumbu nadhani mnalitambua.
Ni huyu huyu Lema ambaye amejikuta mara kadhaa akitolewa Bungeni kama si kukwazana na viongozi kadhaa ndani ya Bunge kutokana na maneno yake kadha wa kadha haijalishi iwe kweli ama si kweli,lakini yametokea!. Mara nyingi nimekuwa pia nikufuatilia kauli zake kwenye mikutano mbalimbali ya hadhara,ukisikiliza kwa makini uangundua kwamba Lema ni Mtata,ni mtu ambaye anaonekana kukata tamaa ya maisha na sasa kujaribu kutumia njia za mkato ikiwemo jazba kutafuta ufumbuzi.
Nimemsikia mara nyingi sana akithibitisha kwamba hapndi kuonewa na pale anapobaini kwamba anataka ama ameonewa basi ni lazima asimame kidete kujitetea ama kutetea haki yake,hili ni jambo ni sahihi na namuunga mkono,lakini tunatofautiana katika kuidai hii haki,yeye anatumia nguvu kubwa zaidi. Kuna viongozi wengi sana ambao ukiwatizama wamefanya mambo makubwa na mazito katika kuhakikisha kwamba wanajitetea ama kuwatetea na wengine ama wale wanaowaongoza,lakini wamekuwa wakitumia hoja ambazo mwisho wa siku zinaleta mana halisi.
Kwa mfano yupo JOHN MNYIKA,ZITTO KABWE,DK.SLAA,HALIMA MDEE,na wengineo wengi wa leo,jana na juzi,lakini hatuawahi kusikia vurugu kwenye maeneo yao wala watu kuuawa,nilitegemea kwamba Baada ya Lema kurudi Bungeni na kwa sababu amekiangusha chama kikubwa kama CCM angetulia na kujaribu kuwaonyesha watanzania kwamba yeye ni mtu wa namna gani katika nchi hii,lakini matarajio yangu yamekuwa tofauti.
Ndiyo mana nashawishika kuamini kwamba pengine Lema anatafuta umaarufu kutokana na hivi vituko vyake vya kila siku!,lakini ni vituko ambavyo vinaanza sasa kumfanya adharaulike katika jamii,kwa sababu watu wanaanza kuzoea kwamba LEMA ni wa vurugu. Ombi langu kama Lema atatoka na kurejea tena mitaani,kuna haja ya viongozi wa CHADEMA kukutana nae na kujaribu kuzungumza nae,mbona wenzake wanakua na hoja na zinapenya na kupokelewa vizuri na jamii?!,kwa nini aisijifunze kwa wenzake.
Mwisho hakuna mtu anayependa kuonewa hapa Duniani,hata mtoto mdogo ambaye bado ananyonya akiona mama yake anamsumbua sana kwenye titi huwa anapiga ngumi ama kuficha na kupiga mateke kuashiria kwamba hapendezwi na yanayojitokeza.Narudia Lema akitoka salama Polisi na kurejea mitaani aachane na hizi vurugu akae na wananchi wake wafanya shughuli za maendeleo,naamini wameshaelewa madhumuni yake.
Kwa nini ni ku PM? Ili iweje.......hata wazazi wako pia ni watu wa longi......inabidi uwe mwangalifu na kauli zakoMkuu halafu watu wa longi wanajua kudanganya sana, ni Pm nihakikishe mkuu otherwise itakua hadithi tu ya kusisimua