Lema amuokoa Dc Arusha

Lema amuokoa Dc Arusha

Baba C

Senior Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
125
Reaction score
55
Waendesha pikipiki wa jiji la Arusha wameandamana leo ofisi ya Dc Arusha kupinga unyanyasaji wanaofanyiwa na trafic. Dc alishindwa kuwatuliza na jazba zao kuongezeka hadi pale mh Lema alipoingilia na kuwatuliza kwa kuahidi kushughulikia tatizo lao.Kwa sasa hali imetulia
 
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?
 
Waendesha pikipiki wa jiji la Arusha wameandamana leo ofisi ya Dc Arusha kupinga unyanyasaji wanaofanyiwa na trafic. Dc alishindwa kuwatuliza na jazba zao kuongezeka hadi pale mh Lema alipoingilia na kuwatuliza kwa kuahidi kushughulikia tatizo lao.Kwa sasa hali imetulia
Mkuu, umekunywa gongo au umevuta kitu ya kumezwa tumboni?
 
Waendesha pikipiki wa jiji la Arusha wameandamana leo ofisi ya Dc Arusha kupinga unyanyasaji wanaofanyiwa na trafic. Dc alishindwa kuwatuliza na jazba zao kuongezeka hadi pale mh Lema alipoingilia na kuwatuliza kwa kuahidi kushughulikia tatizo lao.Kwa sasa hali imetulia

Acha siasa wewe,kamuokoa alikua ametekwa?
 
Waendesha pikipiki wa jiji la Arusha wameandamana leo ofisi ya Dc Arusha kupinga unyanyasaji wanaofanyiwa na trafic. Dc alishindwa kuwatuliza na jazba zao kuongezeka hadi pale mh Lema alipoingilia na kuwatuliza kwa kuahidi kushughulikia tatizo lao.Kwa sasa hali imetulia

huo si ndio mtaji wa Lema, boda boda_hana uwezo wa kujenga hoja za kitaifa na kimaendeleo, wanasubiria ruzuku ya Chama 255million kwa mwezi na kwa miaka yote wameshindwa kujenga Ofisi
 
Lema Rais wa Arusha anakubalika na wana wa Atown sana Lema ni Jabari.
 
Back
Top Bottom