Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.

Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?

Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?

Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.

Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?

Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.

Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole hahitaji ushauri wa watu wa aina yake!

Pia soma: Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini
 
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.

Ajabu na kweli akatokea Lema ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole.

Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri Polepole?

Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.

Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?

Go Polepole (aka yoga wa jf) go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.

Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia ushauri wa nini?
Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
 
..Ni rahisi kumlaumu Lema kama hujapitia dhuluma aliyofanyiwa na Magufuli, Polepole, Sirro, Kipilimba, na genge lao.

..Polepole labda amemuasi Mama Samia, lakini hajaasi unyama na dhuluma za kipindi cha Magufuli.
 
Lema kinachomtesa ni Alishang'atwa na nyoka wengi kwa kuwaamini watu kama Polepole na wengine ni zaidi ya Polepole
 
..Ni rahisi kumlaumu Lema kama hujapitia dhuluma aliyofanyiwa na Magufuli, Polepole, Sirro, Kipilimba, na genge lao.

..Polepole labda amemuasi Mama Samia, lakini hajaasi unyama na dhuluma za kipindi cha Magufuli.

Uliusikia ushauri wake lakini? Hawezi kusoma kuwa Polepole aweza kuwa ni wale manguli humu jf?

Kwa brain ya Polepole, Lema si arudi shule?

Kama Polepole si super brilliant, kumbe brilliance ni nini?
 
Shida yenu wengi mnaangalia video ya Lema ya 2021 kuhusu Polepole ile miezi ya kwanza ya mama, mnafikiri ni video mpya.

Lema kwa sasa yupo positive sana na Polepole kujiuzulu Ubalozi.

JF siku hizi ni copy and Paste.
 
Lema alinishangaza,

Iweje mtu aliyewahi kuwa Mbunge asijue kuuliza swali,

Badala ya swali, anatoa maelezo mareefu kwa issue isiyo na Msingi,

Yaani ulazimishe Lissu atajwe ndio aone ni uzalendo,

Lema Tulia, acha kelele.

Tunahitajika kuungana pamoja kupambana na adui yetu mmoja
 
Wa aina hii hawajui walikuwapo kina mwamba. Tanzania ni muhimu zaidi kuliko mtu.

Nani asiyeelewa wahuni wametuchelewesha mno?
 
Lema akiwa Arusha mkutano wa hadhara, alitwambia Kabla ya kurudi toka Canada, alimpigia Mzee wa msoga kumuuliza arudi ama la,

Alipoambiwa njoo ndio akaja.

Wanammtandao wana network ndefu mno.
 
Bila kuwatolea watu uvivu kama hivi huwa wanatokea kujisahau.
 
Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Lema alikuwa anaweka record sawa. Polepole pamoja na kuongea ukweli dhidi ya serekali sasa, bado ni mshenzi aliyeharibu demokrasia ya nchi hii.
 
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.

Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?

Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?

Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.

Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?

Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.

Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole haihitaji ushauri wa watu wa aina yake!
Bwege tu linalojifurahisha
 
Back
Top Bottom