Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Hamna kitu ndio maana CCM inashinda kwa kishindo, wiki iliyopita povu linamtoka kwamba apewe majina ya uswisi ayataje hadharani, leo anasema ana DVD aifanyie duplicate wasambaze na waweke youtube watu waone kama wanaogopa ushahidi kuharibiwa na serikali. Waitoe DVD tuone ili tuihoji serikali kwenye kisanduku cha kura la sivyo yaleyale ya ''Cambridge international college'-chuo kipo online'(ulaghai mtupu), sasa tume ya kimahakama ataiamini vipi?wakati Jaji mkuu ni mteule wa raisi (kwa katiba ya sasa).Kila kukicha anawaambia watu kwamba dhambi kubwa ni uoga wakati yeye ni mwoga.........alijificha ndani ya nyumba yake usiku kucha polisi wasimkamate kwa agizo la mkuu wa mkoa.........!
 
iundwe tume huru ya kimahakama ushahidi upelekwe huko! kama mwigulu naye ana dukuduku lake lililompelekea kufanya jambo naye atswasilisha kwenye tume hiyo hiyo,
 

Sijkuelewa arusha njini ccm wameshinda kitu gani
 
Zitto akisema hakuna tija yoyote kutaja majina ya walioficha mabilioni Uswiss kwa sababu kutaja majina sio solution mnamkebehi, Lema akisema hataji majina ya walipuaji wa bomu la Soweto mpaka iundwe tume ya kijaji mnaona kuna tija! Nadhani Tanzania sasa hivi ndo nchi inayoongoza kwa kuwa na vijana ambao hawawezi kufikiria/kuwaza maneno yao walau kwa mara mbili tu!
 
Lema huwa akikohoa kidogo magamba yanalowa.

Ndali ya Chadema kuna kila aina ya kipawa katika wanachama wake, na hii ni zawadi kutoka kwa Mwenyenzi Mungu pekee.

Hapa kwa Mb. Lema tunashuhudia kipawa cha Ujasiri mkubwa Mungu aliomjalia.
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...

Akishauweka then??? mnataka uwekwe hadharani ili muuharibu? tunataka tume huru ya kimahakama ili ushahidi wapewe na si hao misukule chagunja and the likes!.
 
mbona walisema kuwa ocd wa arusha. alihusika na walimfata na elecoptar ya police. wakamrundisha.kuja kujibu 2ma
 
kama CD ipo CDM nadhani wanaweza kufungua kesi kuwashitaki wahusika only becoz ushaid wa tukio upo na mashaidi wapo, hapo nadhani watakua wamefanya la msingi lakini kama wanavyosema serikali inahusika sasa itaundaje tume huru kujichunguza, kamwe hiyo tume haitakua.
 

wajinga kama wewe bado wako ccm,wewe unafurahi tu jinsi watu walivyokufa na mlipuko wa bomu! Yaan mijitu miji.nga na mipumbavu kama wew ndo mnasherehekea vifo vya wenzenu.Naona kwenu ninyi magamba Buku 7 mnafurahia tu watu kufa,hata halioni aibu,popote ulipo laana hii ya kubariki mauaji ikufikie
 

Mkuu, chadema wamejilipua wenyewe na ndo maana wameandaa mikanda fake
 

Lema ashinikizwe atutajie wauaji hata kabla ya kuundwa hiyo tume ya kijaji.Yaani watu wamekufa yeye anaficha wauaji kwa kisingizio cha kusubiri tume ambayo anauhakika haitoundwa milele!Halafu akina Ben saa 8 wanamtetea!Lema kama huwezi kutaja ama kuweka hadharani walipuaji ili dunia ione utakuwa MNAFIKI na itabidi uache kumasakama Zitto.
 
Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.
in General perspective,mtuhumiwa no moja ni serikali ya wabakaji(yaan ccm) na ktk specfic perspective mhusika mku ni mwigulu Nchemba.
 
Ni kweli kabisa mkuu, ila hii ni aibu kwa Serekali yetu inayojisifu kuwa inazingatia utawala bora, wakati huo kuna baadhi ya watendaji wake wanafanya vitendo viovu vya kuuwa raiya wasio na hatia yoyote.[/SIZE]

Mkuu wewe ndo unaona aibu wenzetu za kichwani ziko likizo ndo maake wauaji wanapandishwa vyeo kila mtendaji serikalini ameshajua akitaka cheoni kukomoa mwananchi hasa mwenye muelekeo wakuwa mfuasi wa CHADEMA. Nadhani sasa tunaona dalii nzuri ya JINO KWA JINO NA JICHO KWA JICHO.
 

Muungwana Chakaza... mimi na wewe na yule tuna "collective responsibilities" ya kuuondoa MFUMO HUU ambao umeshindwa kutupeleka kuleeeeeee ambako mwananchi wa kawaida anahitaji kwa kutumia RASLIMALI NYINGIIIIIII TULIZONAZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…