Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
facebook a.k.a sura ya kitabu............. a.k.a FB ya madenti na mapyupulu............. mkiishiwa vya kuandika someni vilivyoandikwa na wengineLema anatuaibisha wanachadema wa Arusha..
Afadhali wamiliki wa vyombo vya usafiri wameliona hilo.
Lema anatuaibisha wanachadema wa Arusha..
Afadhali wamiliki wa vyombo vya usafiri wameliona hilo.
NA SHAABAN MDOE. ARUSHA NJAMA za mbunge wa Arusha Mjini Gogbless Lema (CHADEMA) kushinikiza mgomo wa daladala na pikipiki , ikiwa ni ishara ya kupinga kuwekwa rumande, zimegonga mwamba , baada ya wamiliki wa vyombo hivyo vya usafiri kutomuunga mkono. Habari zilizopatikana mjini hapa zinasema wamiliki wa vyombo hivyo waliamua kutounga mkono mgomo huo , baada ya kutafakari na kuhoji mantiki yake kwa kuwa dhamana ulikuwa wazi kwa Lema lakini alikataa kudhaminiwa ili apelekwe rumande. Jana asubuhi vijana waliosadikiwa kuwa ni wafuasi wa Lema walifanya vurugu kwa kupiga mawe kila daladala na pikipiki iliyotoa huduma ya usafiri ili kuwashinikiza wahusika kugoma. SOURCE: UHURU [/QU SOURCE NINI UHURU! YALAAH NA WEWE ULIYE-POST ULIFIKIRIA NINI? LEMA YUPO JELA KAHAMASISHAJE MGOMO! TZ HII TUTAFIKA KWELI?
si afadhali yeye kakaririshwa kusema hivyo. Ebu tupe wewe ulichotokanacho kama siyo the, the, the ,the.......
Alitaka kucheza na sheria
NA SHAABAN MDOE. ARUSHA
NJAMA za mbunge wa Arusha Mjini Gogbless Lema (CHADEMA) kushinikiza mgomo wa daladala na pikipiki , ikiwa ni ishara ya kupinga kuwekwa rumande, zimegonga mwamba , baada ya wamiliki wa vyombo hivyo vya usafiri kutomuunga mkono.
Habari zilizopatikana mjini hapa zinasema wamiliki wa vyombo hivyo waliamua kutounga mkono mgomo huo , baada ya kutafakari na kuhoji mantiki yake kwa kuwa dhamana ulikuwa wazi kwa Lema lakini alikataa kudhaminiwa ili apelekwe rumande.
Jana asubuhi vijana waliosadikiwa kuwa ni wafuasi wa Lema walifanya vurugu kwa kupiga mawe kila daladala na pikipiki iliyotoa huduma ya usafiri ili kuwashinikiza wahusika kugoma.
SOURCE: UHURU
basi hakuna habari hapo bali ni unazi tu
Source: UHURU..
mtatoka sana povu mpaka mate yawakauke,chadema haitikisiki hapa mwendo mdundo,alaa mnaleta nguvu ya posho hapa,peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!.