Lema aendelea kuitesa CCM Arusha....

Lema aendelea kuitesa CCM Arusha....

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,975
Reaction score
9,580
Ilikuwa kama chekekesho hivi....... Kuna gari lilikuwa linapita karibu na mkutano wa ccm kata ya Sombetini, ilikuwa inafanana na la mbunge Lema, ilipowakaribia green walidhani ni la lema .... zikasikika sauti za peopleeeeezzz katikati ya mkutano wa ccm, ....... ilibidi magreen guard waukimbei mkutano wao wakajifiche wakidhani wanatafutwa kwa kuwapiga makamanda wa chadema. Ilichukua muda kuamini kwamba hakuwa Lema, ikabidi warudi kulinda mkutano.

Kwa ujumla hali ya ccm Sombetini ni mbaya sana ukizingatia mgombea mwenyewe ameshaanza kulalamika kuwa alilazimishwa kugombea.
 
Yapo humu yanachungulia,yanaogopa kucomment...
 
Ina maana Mungi uli hudhuria mkutano wa ccm na uka shuhudia hayo?
 
Last edited by a moderator:
Na mwanga wa milele Mungu aiangazie CCM ...Amina.
 
Yani tunawapi kata funua salam zao chaguzi za serikali za mitaa
 
Wataweweseka sana watu wameshajua ni majangili nchi imewashinda, wanawaogopa kama ukoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom