Lema aanika meseji ya Ben Saanane

So far Lema amefanya Lipi La maendeleo Kwa Jimbo la arusha?
 
Hayo ndio matatizo ya wapiga kura wa arusha mjini waliyomtuma akaongee bungeni?

Mkuu;
Usiwaache hao waarusha wasijua kitu kihivyo?? Ni kama unawasimanga. Hebu wape kipande kidogo kuwaonesha kile ambacho mbunge wako anacho kinena kutetea jimbo lake ili wakilinganishe na anacho kisema Lema. Ntafurahi mkuu ukifanya hivyo. Pu.mbaavu zako
 
Kuna msemo what goes around comes around! Usifikiri suala hili ni jepesi kwamba mwathirika anaweza kuwa mwathiriwa kirahisi.
 



Maneno ya hekima kabisa. Mwenye masikio na asikie neno ambalo Lema kawapatia CCM.


Hakika Lema amekomaa sasa


Maneno yanagusa sana.

Huwezi kunyamazisha watu wanaosimamia ukweli milele.

Niliowanukuu mna hoja moja tu kuu, uhuru wa kusema na kuandika lolote bila mipaka.

Ebu tuwe wa kweli na kujiuliza:

Hivi kweli wawakilishi wetu hawana jambo la msingi (kero za maendeleo) la kuzungumzia ila linalogusa maslahi yao binafsi (uhuru usio na mpaka wa kusema lolote)?

Mh Lema, hajakomaa kisiasa, kama ninyi niliowanukuu mnavyoamini. Laiti angetumia maneno yake ya hekima[/V] kuhamasisha wapiga kura wake kwa masuala ya maendeleo, nami ningeungana nanyi kumpa sifa zinazostahili. Lakini maneno yake ya hekima[/V] yamejaa vijembe na chuki iliyo wazi km ’ Leo tunapotaka kujadili mambo ya msingi, mnatumia nguvu na uwezo mlio nao. Kwa lugha kama hiyo, hakika hupewi nafasi ya kuongea katika jamii
 
Umehakiki cheti?
 
Mabox!
 
Hayo ndio matatizo ya wapiga kura wa arusha mjini waliyomtuma akaongee bungeni?
Wewe siku zote huna tofauti na vichaa wa Mirembe.
Mbunge mwenye maono daima huvuka mipaka ya jimbo na kulitazama taifa kwa ujumla wake. Waangalie akina Sir Winston Churchill waliokuwa wabunge huko Uingereza kabla ya vita kuu ya pili ya dunia walivyoionya serikali yao dhidi ya hatari ya kuibuka kwa ufashisti wa Hitler huko Ujerumani. Hatimaye maono yao yalikuja kuwa kweli na Waingereza wakamkabidhi jahazi la Uwaziri Mkuu ili kuwavusha salama katika vita.
 
Hebu tafakari vizuri, hoja nyingi wanazojenga wabunge bungeni zinafuatwa?
Usijifanye mjuaji ilhali unaandika utumbo tu
 
Hebu tafakari vizuri, hoja nyingi wanazojenga wabunge bungeni zinafuatwa?
Usijifanye mjuaji ilhali unaandika utumbo tu

Kuna msemo unaopendwa kutmiwa sana na wa wanajamvi humu wa "time will tell. Ni msemo unaotumiwa na watu wanaoishiwa na hoja pia na waliokata tamaa.

Huo msemo hauna tofauti na hoja yako hiyo (maandishi mekundu). Unaomba dua mabaya yaitokee Serikali iliyoko madarakani badala ya kutafuta kiini/chanzo cha hoja zao kutokufuatwa. Labda kama utatoa mfano wa hoja hata moja tuendeleze mjadala
 
Kuna kipindi huwa nakaa nafikirii mtu mwenye ufahamu duni kama huu, kama anatumia computer kuandika hata kufungua account aliwezaje.

Ukimuuliza Mbowe atakupa jibu ikiwa wewe mwenyewe unashindwa kupata.
 
hivi ni nani kafungwa jela kwa kuikosoa serikali?
 
How can't u cry in the middle of this painful story of my beloved nation??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…