Lema aache kumtishia amani DPP

Lema hamtishi DPP, Lema anamwabia DPP atende haki kwa mujibu wa sheria. DPP hana uwezo kisheria kumuhukumu mtu, mahakama ndo inatoa hukumu kwa mkosaji. Kupeleka mashataka mahakamani hakumpi DPP mamlaka ya kuwahukumu watu, wala hicho cheo sio rungu la kuwakomoa watu. Unaandaa mashtaka na kumfikisha mtuhumiwa mahakamani mtu anasota ndani miaka mitatu kwa madai kwamba upelelezi hajakamilika. Baadaye unataka mtuhumiwa aje aombe msamaha wakati ktk miaka mitatu umeshindwa kupata ushahidi wa unachomtuhumu, huo sio utawala wa kisheria.
 
Kwani hizo ofisi za CCM zilijengwa na CCM au Serikali?yaani vijani wa Lumumba majinga yote.
 
Ni DPP nayemtisha Lema, na sio Lema anayemtisha DPP. DPP anatumika vibaya na watawala.kwa mdano Utakumbuka maandamano yaliowafunga Mbowe na wenzake alikuwepo Waitara lakini DPP hakumuunganisha Waitara kwenye kesi hiyo kwa sababu yupo CCM???[emoji33][emoji33][emoji33]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hekima na busara DPP hatakiwi kuongea mambo yale mbele ya Press. Mambo yake yanatakiwa yaende kimya kimya.

KWA SHERIA DPP, kama mwendesha mashtaka wa serikali/umma hatakiwi kuongelea masuala ya kesi zinazohusiana na ofisi yake hadharani. Hatakiwi kabisa kutoa kauli za kisiasa. Anatakiwa kuwa impartial. Yeye anaishia kuwa mtu wa facts na hoja tu kuthibitisha jinai na jukwaa lake ni mahakamani pekee. Alichofanya majuzi si sahihi kabisa na ni “unprecedented” period. Ni aibu.
 
Kwaio na wewe ukichukua nch utafanya Kama CCM Sasa kwa nn tukupe nch ilihal wote hamna utofaut huon unaropoka tu Kama Sera zenu zinafanana why nyie mpewe wakati hata nyie mnasubir mpewe nch mkajijenge pumbafu nyie umeshindwa kukwepa mtego
Kwani hizo ofisi za CCM zilijengwa na CCM au Serikali?yaani vijani wa Lumumba majinga yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Lema yupo sahihi,sikuwahi kumuona DPP akitoka hadharani
Kila kitu siku hizi wanaweka hadharani lakini siyo na yale ya madini au pangaboi, ukishangaa ya dipipii kutoka hadharani utaona ya mtumishi kuulizwa mshahara wake hadharani na ukatajwa. Tembea kifua mbele ,,,,,,hahaahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae kiazi
 


MKuu kwani mpaka sasa ile mahakama ya mafisadi inakesi ngapi?
 
Kwa hiyo DPP ndio ruhusa kutisha watu,? Afanye kazi kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi hakuna atakaye mdharau hizi kazi ni za Muda kuna maisha baada ya Utumishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mh. Lema anayo nafasi finyu sana kuwatisha watu wa Mkoa wa Mara, Jando la wima.
 
Sasa Lema na Huyo DPP nani aliyemtishia mwenzake? Lema hajamtisha kamwambia ukweli kwamba hamuogopi na akitaka ampe hukumu hata ya kumyonga na pia amemsisitiza kwamba awamu hii haingozwi na Mungu wala yesu hivyo itapita tu kama nyingine.
Savimbi Jr, hivi Mungu na Yesu nani mkubwa?
 
He! Lumumba sasa'ivi mmebadilisha kauli mbiu kumbe ... !!!

Kutoka UCHOCHEZI na kuwa UCHONGANISHI ... !!!

Ha ha ha haaa ama hakika nyakati za mwisho wa shetani tutashuhudia dhambi nyingi zikibadilishwa majina ila ukweli utabaki palepale kuwa dhambi ni dhambi hata uibadilishe rangi

Kwa herufi kubwa na kwa sauti ya juu ni kwamba:-

"DPP ACHA KUONEA WATU KUNA MUNGU NA KUNA MAISHA BAADA YA SIASA ... UYAFANYAYO NI DHAMBI KWA NAFASI ULIYONAYO ..."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…