Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,435
- 283,717
Umeandika uzi kishamba sana ! haijulikani kama unahutubia , unalalamika au unalia , Msingi wa Lema kumpa makavu Biswalo Mganga unajulikana , ni baada ya DPP kujifanya ndiye mtoa hukumu , sasa wewe umejiingiza kichwa kichwa hata hueleweki ! anza upyaaSiasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.
Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.
Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.
Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.
Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.
Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
Hatuwezi kununua pumba tukaacha sembe _ kwa chakula Cha binadamu.Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.
Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.
Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.
Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.
Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.
Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.
Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.
Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.
Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.
Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.
Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
Mi nilimuona alikua anarembua macho tu huku akiukatikia ukuni kwa mauno ya harakaharaka.Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.
Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.
Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.
Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.
Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.
Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
Penye ukweli uongo hujitenga. Waliowengi nchini wameujua ukweli. Insha ndeefu ni nzuri iwapo itapendwa na "mwalimu" lakini ni mbaya kwa waliowengi kama imejaa uzandiki na inafinyanga ukweli ulio wazi.
Yuko bize kupambana Na upinzani kuliko kuwa bize kupunguza idadi ya mahabusuSiku hizi DPP ndo anahukumu watu? Sio mahakama tena?
Nanshauri DPP amfunge Lema miaka 25 ili akome,,,
Au ampige faini ya bilioni 1 tuone Kama wananchi wataweza kumchangia
Tatizo la hawa watu wanapenda kusema nyekundu kuwa ni nyeusiNi dhamiri DPP Ndiye alimtisha Lema ila kwa vile katika nchi yetu ukiwa mpinzani hauna haki,ndo maana unaona watu wakifurahia mambo ya kihuniSasa Lema na Huyo DPP nani aliyemtishia mwenzake? Lema hajamtisha kamwambia ukweli kwamba hamuogopi na akitaka ampe hukumu hata ya kumyonga na pia amemsisitiza kwamba awamu hii haingozwi na Mungu wala yesu hivyo itapita tu kama nyingine.
Hivi kumbe anaetoa Hukumu ni DPP!??Sasa Lema na Huyo DPP nani aliyemtishia mwenzake? Lema hajamtisha kamwambia ukweli kwamba hamuogopi na akitaka ampe hukumu hata ya kumyonga na pia amemsisitiza kwamba awamu hii haingozwi na Mungu wala yesu hivyo itapita tu kama nyingine.
Mh! Mimi napita tu ili wenye kutetea uvunjifu wa sheria za kuleta taharuki katika jamii, waendeleze mjadala huu.
Mtoa mada unaweza ukawa hutumii akili yako kadri ya Mungu alivyokupa. Pengine wewe ni wale wawatumikiao binadamu.(Yeremia 17:5 BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu ).Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.
Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.
Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.
Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.
Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.
Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
🤣🤣
Jamaa KUNGURU kweli, kasema hamuogopi DPP ila kajificha.
Kamanda gani anayumbishwa na hana msimamo kabisa?
DPP angeenda mwenyewe unamaanisha nini?DPP angeenda mwenyewe kumkata Lema hapo ndio ungejua Lema anaamanisha nini. Sio atume watu.
Jibu swali kwanini kajificha kama amuogopi mtu?
DPP aache kutishia watu sheria siyo panga ni msumenoSiasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.
Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.
Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.
Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.
Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.
Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
Kesi haijaenda mahakamani ila iko mbioni kupelekwa .Sa nani kamtisha nani...hilo liDPP lenu halijui kwamba lema alishakamatwa na kesi ipo singida? Yale matisho ya juzi yalikuwa na maana gani?
Limtu linasimamia sheria linajua kesi ipo mahakamni bado linatishia, hapo ndo utajua mamtu yapo ofcn but yanaendeshwa na mihemko..
lema yupo sahihi kabisa mwanaume lazima ujitete uwezi tishwa tishwa kindezi ukaa kimyaa...Namuunga mkono Mbunge wangu lema.
DPP angeenda mwenyewe unamaanisha nini?
Maana tukisema DPP sio Biswalo pekee yake. Ila jamaa KUNGURU unachimba beats halafu unajificha ili iweje?
kwani DPP alimfuata binafsi au askari wenye silaha acha kujitoa ufahamu🤣🤣
Jamaa KUNGURU kweli, kasema hamuogopi DPP ila kajificha.
Kamanda gani anayumbishwa na hana msimamo kabisa?
Kesi haijaenda mahakamani ila iko mbioni kupelekwa .
Kwa hiyo usipotoshe umma.
Lema asubiri kuumbuliwa na kunyea debe segerea kwa kosa lake.
Sent using Jamii Forums mobile app