Leicester City (The Foxes) | Special Thread

Midkisheti
 
Attachments

  • images(2).jpg
    images(2).jpg
    15.1 KB · Views: 7
Mimi nafurahi tu pale timu ikiwa inaongoza goli 2 au 3 kocha anamuingiza andunje GRAY
 
Hehe.. Hatimaye Leicester imepata Special Thread yake. Tunashukuru umetuongezea kijiwe cha kupiga soga hapa JF. Ila wewe mfungua huu nakusihi kuwa na adabu kwa wakubwa zako. Nimekuta umeandika maneno ya kejeli kwenye jukwaa la Chelsea au ndio njia uliyoamua kuli promote hili jukwaa?

Pambavu
 
Tulia mkuu,sisi tumekuha kufanya mapinduzi ya kweli hapo EPL maana nataka tuweke rekodi ya kuchukua hili kombe mara nyingi zaidi kuliko Liverpool...hahahahahahahahahah maana wao mpaka sasa hawana hata 1
 
Hehe.. Hatimaye Leicester imepata Special Thread yake. Tunashukuru umetuongezea kijiwe cha kupiga soga hapa JF. Ila wewe mfungua huu nakusihi kuwa na adabu kwa wakubwa zako. Nimekuta umeandika maneno ya kejeli kwenye jukwaa la Chelsea au ndio njia uliyoamua kuli promote hili jukwaa?

Pambavu

Mkuu umetoka timu gani kati ya arsenal au man u???

Samahani lakini

Usisumbuke kumuuliza! Huyu 2013 alikuwa Arsenal ↓↓

Gunnerz 4 real,
refa amekodiwa na wangese wa manure urinated anachezesha mpira kama mazoezi,
arsenal ushindi leo lazima

2015 akawa Chelsea ↓↓

Pogba atatufaa sana
Kama ingwzekana tuuze hazard tununue ox chamberlain pia fabrgas kachoka nafikiri ramsey angetusaidia sana

2019 yupo Leicester City.

But ninajaribu kutafuta kuanzia kipindi cha 2015 mpaka 2019 kama aliwahi kuhamia Liverpool na Man United.

2020 natarajia kumkutia Everton

Kiufupi hamana Mshabiki hapo bali pana mbabaishaji tu
 
Mkuu mbona nyuzi mbili mbili????Kuna mdau kashaandika hii mambo tangu 2015.

Mkuu mbona nyuzi mbili mbili????Kuna mdau kashaandika hii mambo tangu 2015.

Tumerudi wenyewe ikiwezekana waisticky hapo juu
Ikiwezekana mods waiconnect na waiedit maana ile haijadamsh mwonekano wake ....tumekuja kukimbiza kuku wote
 
Back
Top Bottom