Leicester City, Special Thread

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,074
3,743
leicester_city.jpg

74385147_hi022002743.jpg

i

ebrates-scoring-MM-PI.vresize.1200.675.high.87.jpg

Leicester-City-vs-Watford.jpg

original

Leicester-City-Lineup-vs-Chelsea-14Dec2015-LeagueLane.com_.jpg

Hapa tutakuwa tunazungumza kuhusu timu tishio kwa sasa hivi Uingereza inayocheza ligi kuu ya England

Sio nyingine ni Leicester City

Una chochote kuhusu timu hii Tafadhali tupia hapa

Na ninaomba Moderator @jf robot Paw BAK watusaidie thread hii iwe sticky au special thread

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:

CBC Invisible
 
Last edited by a moderator:
Ngoja Nikae Hapa Pembeni Kupata Uhondo Wa Hii Timu Maana Mpaka Sasa Imekuwa Kama Inatumbua Majipu, Ila Naweka Akiba Ya Maneno Kuna Kesho! !!!!!
 
Kutokujitambua ndo huku au kufuata upepo au kuna uwezekano umekimbia Chelsea, Liverpool, au Manu. Acha kiherehere!
hivi leicester haipaswi kushabikiwa eenhe??? sina vifungo vya ushabiki tena england ndo kabisaaaaaa. huko timu yangu ni bournermouth toka wapo championship
 
Leicester ndio anaongoza ligi Xmas hii....maneno mengine naweka akiba kuna kesho.
 
Hawa madogo wana-ari sana ya mafanikio nimeipenda spirit yao ya kutaka ushindi ilivyo juu,vardy na maghreb ndio daaaaah,usipime,wana shabaha na magoli ya wapinzani wao kinoma
 
hivi leicester haipaswi kushabikiwa eenhe??? sina vifungo vya ushabiki tena england ndo kabisaaaaaa. huko timu yangu ni bournermouth toka wapo championship

Sio kwamba hauna timu, ila ni MNAFIKI. Hii haina ubishi. Najua utabisha ila wee ni mnafiki, kama sio basi karibu ktk soka, wee ni mpenzi mpya wa EPL na umeanza shabikia na kufuatilia mpira msimu huu! Na unaposema hauna kifungo ktk soka, basi umeeihirisha kuwa wee ni bendera tu, hamna kitu hapo, Ukitaka kubisha bisha!
Ila sio mbaya, kufuata upepo inaruhusiwa.
 
Back
Top Bottom