Legends of Hip hop Bongo

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,033
64,844
Its about time Bongo Gets a taste of good Music.
We have many many rappers but very few poets.
Media mediocrity trying to destroy hip hop.
The fountains of wisdom are drying up, and all we hear is a messed up crank.

Hawa ni wasanii wa Hip Hop Bongo ambao wanaandika sana na kuumiza vichwa; simply they are poets. Its simply mind-bending lyricism.

(1) The X Plasters.

(2) Solo Thang.

(3) Lufunyo.

(4) Fid Q.

(5) One the Incredible.

(6) Nikki Mbishi.

Endelea kuongezea watu anaodhani wana uwezo kama wao wa kuitumia fasihi vizuri.
 
Heading yako na content yako haviendani. Unajadili legends au waandishi tu.

Ni upuuuumbavu hata kuwaza Uno, Mbishi na watoto wote wa juzi juzi kama legends. Wameleta nini kipya kwenye game?
 
Hip Hop kwao ni Marekani hawa wa hapa bongo ni wababaishaji tu. Tusipende kulazimisha vitu na kufanya vyetu kwani tunaonekana losers Tu.
 
Heading yako na content yako haviendani. Unajadili legends au waandishi tu.

Ni upuuuumbavu hata kuwaza Uno, Mbishi na watoto wote wa juzi juzi kama legends. Wameleta nini kipya kwenye game?

Unajua maana ya Legend?
 
Unajua maana ya Legend?

Nakwambia ni upumbaavu kuwapa status ya ulegend Mbishi, Stereo, Uno, Stamina, Wakazi, Nash MC, Killa na watoto wote wa juzi. Nimekuuliza nini mchango wao kwa game? Nini impact yao mtaani? Watu hawana hata miaka mitano kwa game unawaita legends. Kina Sugu, Prof J, Ngwea, Jabir, FA, Afande Sele, Jay moe utawaita nini kama hao watoto ndio legends wako. Ni aidha wewe ni mtoto hujui huu muziki umetoka wapi au hujui kabisa hii aina ya mziki
 
Its about time Bongo Gets a taste of good Music.
We have many many rappers but very few poets.
Media mediocrity trying to destroy hip hop.
The fountains of wisdom are drying up, and all we hear is a messed up crank.

Hawa ni wasanii wa Hip Hop Bongo ambao wanaandika sana na kuumiza vichwa; simply they are poets. Its simply mind-bending lyricism.

(1) The X Plasters.

(2) Solo Thang.

(3) Lufunyo.

(4) Fid Q.

(5) One the Incredible.

(6) Nikki Mbishi.

Endelea kuongezea watu anaodhani wana uwezo kama wao wa kuitumia fasihi vizuri.
Valentine's Special, sikiliza hata
 
...ahsante Bufa!..umeiua thread ya kindezi!
...dogo tangu ajipendekeze kuona mamaake mkubwa akisomeshwa na machalii naona akili yake haijakaa sawa!.
...wa kumhurumia tu!
 
Wewe unauhakika gani mimi ni dogo?
Inaonyesha wewe very gullible kuamnini kila kitu kinachosemwa hapa JF.
Its a matter of presupposition; wewe ungejibu kisomi tu.
What do you understand by a term Legend?
Naona Bufa amecling kwenye denotative meaning of a LEGEND!

Halafu weird enough mimi sijaongelea who are the architects of HipHop Bongo,
Mimi nimezungumzia the Legends of Mind Bending Lyricism.
Sasa sijawaelewa ninyi mmekuwa wagumu wapi kuelewa?
Eleweni mada mazee,
 
Nakwambia ni upumbaavu kuwapa status ya ulegend Mbishi, Stereo, Uno, Stamina, Wakazi, Nash MC, Killa na watoto wote wa juzi. Nimekuuliza nini mchango wao kwa game? Nini impact yao mtaani? Watu hawana hata miaka mitano kwa game unawaita legends. Kina Sugu, Prof J, Ngwea, Jabir, FA, Afande Sele, Jay moe utawaita nini kama hao watoto ndio legends wako. Ni aidha wewe ni mtoto hujui huu muziki umetoka wapi au hujui kabisa hii aina ya mziki

Aisee,
Kwa hiyo wewe ulivyofundishwa ni kwamba LEGEND ni yule fore-runner wa HipHop?
Kwanini uko Naive?
Nani kaongelea mchango wao kwenye gemu au ndiyo yaleyale spewing nonesense?
Mimi niumesema Mind Bending Lyricism in Poetry......Unaijua maaana yake?

Inafahamika kabisa Kina Sugu, Prof J, Afande na wengine ni fore runners wa HipHop bongo.
Au kuna sehemu umeona nimekanusha?
uwe na veracity bwana.
Umeambiwa uendelee kuwaweka unaowadhani wewe ni wazuri, umekurupuka tu hata hujaelewa thread.

Haya in Literature and particular world of poetry what do we mean by LEGEND?
 
Kwanini utukane ndugu yangu?
Its a matter of presupposition; wewe ungejibu kisomi tu.
When we say a Legend what do we really mean?
Naona Bufa amecling kwenye denotative meaning of a LEGEND!

Halafu weird enough mimi sijaongelea who are the architects of HipHop Bongo,
Mimi nimezungumzia the Legends of Mind Bending Lyricism.
Sasa sijawaelewa ninyi mmekuwa wagumu wapi kuelewa?
...teh teh teh..mosi,mi sijatukana!
...pili,mi sio msomi!...wewe msomi toa tafsiri zako bayana...,japo sina uwezo wa kutaga,najua kutambua yai viza!
..ahsanta!
 
Its about time Bongo Gets a taste of good Music.
We have many many rappers but very few poets.
Media mediocrity trying to destroy hip hop.
The fountains of wisdom are drying up, and all we hear is a messed up crank.

Hawa ni wasanii wa Hip Hop Bongo ambao wanaandika sana na kuumiza vichwa; simply they are poets. Its simply mind-bending lyricism.

(1) The X Plasters.

(2) Solo Thang.

(3) Lufunyo.

(4) Fid Q.

(5) One the Incredible.

(6) Nikki Mbishi.

Endelea kuongezea watu anaodhani wana uwezo kama wao wa kuitumia fasihi vizuri.

!
!
Ujuaji mwingiii....... Stupid
 
Back
Top Bottom