cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
Nguli,Balantanda, Nyani Ngabu, Abdulhalim, Kiranga, Pape aka...,Bht, Carmel, Ziondaughter,Binti Maringo,Pearl, Nyamayao,Mtazamaji,Yegomasika,Asprin,Kaizer,Mwanakijiji.....na wengine wengi.
Enzi zenu jukwaa lilikuwa linachangamka sana, au ni nini kimewauzi wakuu?
Hao hapo kwenye red huwa wapo lakini sio active kama zamani.
Tumewamiss jamani
katika watu ambao naweza kutumia hata gharama zangu binafsi Kumtafuta ni NYANI NGABU,siamini kama na yeye ni mmoja wa watoto wapotevu.mwenye taarifa zake naomba aniPM please.