Legalise it ......

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Mhhh, hizi nyimbo bana, wapenda jani ni kasheshe :)

Hapa Peter Tosh na vitu vyake:



Baadaye wakaja UB 40 wakaurudia.....
 
Last edited by a moderator:
Swali langu kwa Madrs na wavutaji: Kwenye wimbo, Peter Tosh anasema Sigara ina madhara zaidi kwa afya yako na anamwaga sifa kibao kwa jani, je kuna ukweli au ndiyo mvuta kamba huvutia kwake?

Peter Tosh again:

 
Last edited by a moderator:
Whaaat? Sena Paul na yeye?



Acha kufikiria kuvuta, rudi UJENGE TAIFA LAKO LA GIZA.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom