Verma ninacho, sitakiweka hapa kwa sasa. nitakuwekea vingine vizuri tu, sasa hiviMkuu ni vizuri sana vipi unaweza kua na kitabu cha public international law muandishi anaitwa verma soft copy, au chochote kile cha public international law,? tuanzie hapo nataka nijinoe sana kwenye international legal practise
Mkuu Lyamber na mkuu Mwandwanga vitu vyenu hivi hapa. kazi kwenu kuchambua na kufikia malengo. Hapa nimeweka baadhi ya vitabu vya Company law, Partnership Law, Insurance Law, Employment/Labour Law na Public International lawMkuu ni vizuri sana vipi unaweza kua na kitabu cha public international law muandishi anaitwa verma soft copy, au chochote kile cha public international law,? tuanzie hapo nataka nijinoe sana kwenye international legal practise
Mkuu ni vizuri sana vipi unaweza kua na kitabu cha public international law muandishi anaitwa verma soft copy, au chochote kile cha public international law,? tuanzie hapo nataka nijinoe sana kwenye international legal practise
Mkuu Lyamber na mkuu Mwandwanga vitu vyenu hivi hapa. kazi kwenu kuchambua na kufikia malengo. Hapa nimeweka baadhi ya vitabu vya Company law, Partnership Law, Insurance Law, Employment/Labour Law na Public International law
Kama unataka Instruments za Public International Law, au International Humanitarian Law niPm. The man himself Dr. Chacha Bhoke Murungu ametu~equip sana vijana wake.
naweza kupata criminal law and procedure ya tanzania?