Leeds United (The Whites)|Special Thread

Leeds akiwa amebakiza mechi 9 anahitaji kushinda mechi 7 kurejea EPL, mashabiki wa leeds tujiandae kwa tuna nafasi kubwa sana ya kupanda EPL msimu huu. Kama walivyo mashabiki wa Liverpool ningeumia kama wange cancel EPL na Championship.


#Team NamePlayedPoints
1​
Leeds United
37​
71​
2​
West Bromwish
37​
70​
3​
Fulham
37​
64​
4​
Brentford
37​
60​
 
Safari ya Leeds ligi kuu inakaribia bado mechi tano msimu kuisha, anahitaji point 10 tu kujihakikishia kupanda ligi.

Mashabiki wa Leeds tujiandae hakika msimu huu hautakuwa kama wa mwaka jana.

Thursday 9th July Leeds United 17:00 Stoke City
Sunday 12th July Swansea City 13:30 Leeds United
Wednesday 15th July Leeds United 19:45 Barnsley
Saturday 18th July Derby County 15:00 Leeds United
Wednesday 22nd July Leeds United 19:30 Charlton Athletic
 
Msimu huu wamekaza sana, mpaka sasa tunaongoza Ligi kuu nazimebaki mechi 5 tu.Tunahitaji point kumi tu kujihakikisha safari tena hapo Brentford ashinde mechi zake 5 zilizobaki.

1 Leeds United 78
2 West Bromwich Albion 77
3 Brentford 72
4 Fulham 70
 
Msimu huu wamekaza sana, mpaka sasa tunaongoza Ligi kuu nazimebaki mechi 5 tu.Tunahitaji point kumi tu kujihakikisha safari tena hapo Brentford ashinde mechi zake 5 zilizobaki.

1 Leeds United 78
2 West Bromwich Albion 77
3 Brentford 72
4 Fulham 70
dah! hio ligi ya daraja la kwanza imejaa upinzani.......... nimemkumbuka mark viduka na alan smith (nywele nyeupe, jezi nyeupe, sura nyeupe, kiatu cheusi)
 
dah! hio ligi ya daraja la kwanza imejaa upinzani.......... nimemkumbuka mark viduka na alan smith (nywele nyeupe, jezi nyeupe, sura nyeupe, kiatu cheusi)
yaaah hao jamaa walikuwa hatar, kuna Lucas radebe, Rio kabla ya kwenda Man u, wazee wa Elland Road
 
Naona msimu huu mmekamia kweli kuhakikisha msimu ujao mnacheza epl. Hongera sana kwa wachezaji pamoja na kocha bila kuwasahau mashabiki lia lia.

Ushauri wangu msije mtimua kocha wenu Marcelo Bielsa baada ya kupanda daraja. Ni kocha mzuri sana ila ajipange vizuri, mfumo anao penda kutumia wa 4-1-4-1 awe nao makini atakapo kuwa epl bila hivyo kina Werner watampiga magoli mengi mno.
umenikumbusha kocha Dean Smith wa Aston Villa, ameipandisha daraja, na anaishusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom