Leeds United (The Whites)|Special Thread

G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
338
Points
225
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
338 225
Leeds United Football Club (formerly Leeds United A.F.C.) is a professional association football club based in Leeds, West Yorkshire, England. The club was formed in 1919 following the disbanding of Leeds City F.C. by the Football League and took over their Elland Road stadium. They play in the Championship, the second tier of the English football league system.Full nameLeeds United Football Club
Nickname(s)The Whites
United
The Peacocks
Short nameLUFC
Founded17 October 1919; 99 years ago
GroundElland Road,
Beeston, Leeds
Capacity37,890[1]
Coordinates
53°46′40″N 1°34′20″WCoordinates:
53°46′40″N 1°34′20″W
OwnerAser Group Holding (90%)
49ers Enterprises (10%)[2]
ChairmanAndrea Radrizzani
Head coachMarcelo Bielsa
LeagueChampionship
2017–18Championship, 13th of 24
WebsiteClub website
 
gm man

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
775
Points
1,000
gm man

gm man

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2017
775 1,000

Daah Hii Leeds United nimeikuta mwishoni.. Mark Viduka nilikuwa nashangaa Sana hilo Jina Lake la ki makonde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,979
Points
2,000
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,979 2,000
Leeds tena?

Zilipendwa hizo.
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,979
Points
2,000
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,979 2,000
mkuu ni kweli, lakini inapanda 2019/2020 itakuwa EPL
Kupanda sio shida. Shida inakuja je wataweza kupambana au ndio wataporomoka tena!

Fulham alivyokuwa Championship last season ni kati ya team zilizokuwa zinapigiwa upatu wa kusumbua na kubaki kwenye EPL msimu huu lakini mpaka mda huu tunasubiria tu meli imalizikie kuzama maana tayari ishazama.

Wolves wameonyesha walikuwa wanajua wanachokifanya. Angalia points walizovuna vs top six sides.

Cardiff nao niliwaona watakua poa ila nao wanazama.

Ina maana waliopanda last season ni mmoja tu ndio atabaki tena amebaki kwa kufanya fujo atakavyo.

Leeds mtaweza kufanya kama Wolves?
 
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
338
Points
225
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
338 225
Kupanda sio shida. Shida inakuja je wataweza kupambana au ndio wataporomoka tena!

Fulham alivyokuwa Championship last season ni kati ya team zilizokuwa zinapigiwa upatu wa kusumbua na kubaki kwenye EPL msimu huu lakini mpaka mda huu tunasubiria tu meli imalizikie kuzama maana tayari ishazama.

Wolves wameonyesha walikuwa wanajua wanachokifanya. Angalia points walizovuna vs top six sides.

Cardiff nao niliwaona watakua poa ila nao wanazama.

Ina maana waliopanda last season ni mmoja tu ndio atabaki tena amebaki kwa kufanya fujo atakavyo.

Leeds mtaweza kufanya kama Wolves?
Inabidi waweke mzigo mezani ...unayosema Ni kwel . Kwa Leeds sababu kubwa kushuka Ni hela. Wazee walishukua mkopo mkubwa ....then ikawa majanga wakashindwa kurufisha ndo wa kina Rio wakauzwa ...I hope now watakuwa wamejipanga
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,418
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,418 2,000
Mashabik wa Leeds united hurray 😝😝
 
Mchimba Chumvi

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Messages
1,208
Points
2,000
Mchimba Chumvi

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
Joined May 19, 2016
1,208 2,000
Ngoja niwe sehemu ya histori.
Hiyo final ya 2001 nilikuwa na 3yrs.
 
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
13,781
Points
2,000
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
13,781 2,000
Hatar hatar...Psv walitutoa raundi ya nne
Kama ni hii 2001..Valencia walitutoa sem final,game ya kwanza tukidraw nyumban kabla ya ugenii kupigwa 3 bila,Valencia wakiwa wapo kwenye form ya juu hatari,,Kina Gaizak Mendieta
 
Forum statistics

Threads 1,295,406
Members 498,303
Posts 31,210,959
Top