Leeds United (The Whites)|Special Thread


G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
338
Points
225
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
338 225
Hali inaanza kuwa ngumu... Tumeshuka hadi nafasi ya tatu.... Brentford, ipswitch town na Villa... Tunahitaji tushinde zote kwa magoli mengi.... Kwenda kucheza playoff ni hatar zaidi...
 
N

nteze john lungu

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Messages
163
Points
250
N

nteze john lungu

Senior Member
Joined Jul 20, 2018
163 250
Kikosi kilichocheza Uefa 2001View attachment 1062642
Kikosi hatari hiki chini ya kocha David OLeary kikiwa na watu wa hatari kina olivier dacourt ian hart eirik bakke lee bowyer alan smith rio gavin ferdinand garry kellly dany mills na nigel martyn
 
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
338
Points
225
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
338 225
championship-jpg.1089804


Leeds mwishoni tumezingua, ila ngoja tujaribi hizi Play off japo tunaweza kupata nafasi, Hongera kwa Norwich nad Sheffield kwa kupanda EPL...
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
6,356
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
6,356 2,000
View attachment 1089804

Leeds mwishoni tumezingua, ila ngoja tujaribi hizi Play off japo tunaweza kupata nafasi, Hongera kwa Norwich nad Sheffield kwa kupanda EPL...
Namwona bolton hapo anaenda league one.

Daah leeds nawaelewaga but sijui huwa wanakwamaga wapi mwishoni mwa msimu.
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
6,356
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
6,356 2,000
Westbrom atarudi ligi kuu
 
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
338
Points
225
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
338 225
Kweli Kabsa bahati haikuwa upanda wetu, any way tujipange msimu unao kuja.
 
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
338
Points
225
G

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
338 225
Tar 27 May nampata nafasi Villa kupanda. ..

Derby County
VS
Aston Villa
 
Pazmanian

Pazmanian

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
925
Points
1,000
Pazmanian

Pazmanian

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
925 1,000
Leeds hawa jamaa bahati hakuna. Toka washuke kurudi epl imekua changamoto. Wamekuwa na msimu mzuri lakini wamekosa bahati.
 

Forum statistics

Threads 1,295,402
Members 498,303
Posts 31,210,709
Top