fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,540 Reaction score 8,995 Dec 7, 2024 #1 I like the guy na program yake kule utube,japo kuna baadhi ya topic huwa simuungi mkono,lakini nampenda na huwa nacheka sana anapoomba hela ya kununua kahawa kutoka kwa wanaopenda kutazama chanel yake,200 bobs.Keep it up jaduong
I like the guy na program yake kule utube,japo kuna baadhi ya topic huwa simuungi mkono,lakini nampenda na huwa nacheka sana anapoomba hela ya kununua kahawa kutoka kwa wanaopenda kutazama chanel yake,200 bobs.Keep it up jaduong
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Dec 7, 2024 #2 Kitu ambacho nina uthubutu wa kuomba ni kazi tuu. Vingine nakufa na tai yangu shingoni. Hata hiyo naagalia nimuombe nani nani nimuache apite.
Kitu ambacho nina uthubutu wa kuomba ni kazi tuu. Vingine nakufa na tai yangu shingoni. Hata hiyo naagalia nimuombe nani nani nimuache apite.