MSAADA: Nimemtongoza Lecturer wangu amenikasirikia, namalizaje huu mchezo?

Profesa wa Maliasili

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
632
1,893
Salaam wakuu,

Niko mwaka wa pili chuo "X", huyu Lecturer ni mwanamke na pia ni Profesa. Amekuwa rafiki yangu kwa muda wa mwaka moja sasa, huwa nachat nae sana hadi zile sms za kimapenzi lakini sikuwahi kumuonesha hisia kuwa namtaka kimapenzi na mara nyingi huwa tunapeana hadi zawadi ndogondogo.

Sasa juzi kati nikiwa nachat naye akaniambia amechoka sana, si unajua sasa hivi tunaelekea UE kwahiyo kuandaa course work na kutunga mitihani ya wanafunzi akawa analalamika mwili umechoka hadi basi.

Nikamuambia nije nimfanyie Massage akaniwekea emoji za kucheka"" kisha akaniambia siyo maadili mazuri kwakuwa yeye ni mkubwa kwangu. Ofcourse ananizidi miaka kumi na tatu ila kimuonekano ni wale wamama wanaojipenda, bado analipa sana utafikiri ndio yupo 30's.

Nilivyoendelea kumkazia kwa kumuambia umri ni namba tu akaonekana kubadilika na kukasirika ingawa kwa stori zake nasikia anapenda vijana, na mimi nataka nijiweke kwake kweli, nampenda sana kutoka moyoni. Nimemtumia sms moja ndefu ya kumuomba msamaha na kujitetea kuwa, vijana wasumbufu ndio maana nimemtaka yeye, niwe nae na pia anishauri in life wise, lakini hajanijibu bado.

Nataka hili penzi la Lecturer wakulungwa, naombeni maneno niingie na gia gani nyingine madam lecturer anielewe niinjoy maisha. Najua JF hamuwezi niangusha, nipeni nondo wazee wangu niwawakilIshe vyema wanajukwaa.
 
Salaam wakuu,

Niko mwaka wa pili chuo "X" huyu lecturer ni mwanamke na pia ni Profesa amekuwa rafiki yangu kwa mda wa mwaka moja sasa, huwa nachart nae sana hadi zile sms za kimapenzi lakini sikuwahi kumuonesha hisia kuwa namtaka kimapenzi na mara nyingi huwa tunapeana hadi zawadi ndogondogo.

Sasa juzi kati nikiwa nachart naye akaniambia amechoka sana si unajua saivi tunaelekea UE kwahiyo kuandaa course work na kutunga mitihani ya wanafunzi akawa analalamika mwili umechoka hadi basii, nikamuambia nije nimfanyie MASSAGE akaniwekea emoji za kucheka"" kisha akaniambia siyo maadili mazuri kwakuwa yeye ni mkubwa kwangu ofcourse ananizidi miaka kumi na tatu ila kimuonekano ni wale wamama wanaojipenda bado analipa sana utafikiri ndio yupo 30's.

Nilivyoendelea kumkazia kwa kumuambia umri ni namba tu akaonekana kubadilika na kukasirika ingawa kwa stori zake nasikia anapenda vijana na mimi nataka nijiweke kwake kweli nampenda sana kutoka moyoni...Nimemtumia sms moja ndefu ya kumuomba msamaha na kujitetea kuwa vijana wasumbufu ndio maana nimemtaka yeye niwe nae na pia anishauri in life wise lakini hajanijibu bado.

Nataka hili penzi la Lecturer wakulungwa naombeni maneno niingie na gia gani nyingine ni madam lecturer anielewe niinjoy maisha?...Najua JF hamuwezi niangusha nipeni nondo wazee wangu niwawakiloshe vyema wanajukwaa.
Sijawahi ona mwanaume mjinga kama wewe.
 
Ulichokifuata chuoni ndicho hiko?

Akikukubalia ni sswa tu
Akikukatalia ni sawa tu
Ukitimuliwa chuo ni sawa tu
Ukifelishwa kwa upimbi wako ni heri kubwa
 
Back
Top Bottom