Nimeridhishwa sana na hatua hizi za awamu ya pili. Nimekuwa napata msongo wa mawazo kuamini mambo hayo yamo ndani ya Vyuo vyetu maana tafiti nyingi zinazohusiana na jinsia zinaweka chumvi nyingi mno inapokuja swala la kunyanyswa kijinsia. Sasa busara yako itasaidia sana, umejitoa mhanga kutudhihirishia wale tuliokuwa na mashaka na mambo haya.
Kweli, hakuna uharaka wa kutaja Chuo kwa sasa, lakini tafadhali usiachie njiani hizi jitihada. Natamani nikusaidie lakini sijajua nianzie wapi. La msingi tuko pamoja kwa sala na matumaini. Kaza Buti Daima Miss Strong!