ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 384
- 298
Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilihitimu O level 2007 but sikufanya vizuri hivyo nikaamua 'kurisiti' mwaka 2009 na kituo changu cha mtihani kilkuwa Mbez Beach High school ila kusoma nikawa nasoma katika center moja hivi iko Buguruni.
Mtihani nikafanyia Mbez Beach High school na matokeo yangu yalitoka na bado yapo katika ktuo nilichofanyia mtihani (Mbez High School). Sasa nataka kujua hivi kama nitataka kuchukua cheti cha uhitimu (Leaving Certificate) itabidi nikachukue katika kituo nilichofanyia mtihani (Mbez High) au katika center niliyokuwa nasoma (Buguruni)?

Last edited: