Kwa story hiyo, katika moja ya makosa ambayo umefanya kwenye maisha ni kuachana na huyo dada.
Ingawa hujasema chanzo cha kuachana lakin naona ni ufedhuri wako tu sura na umbo lake halikukidhi matamanio yako.
Ukiendelea na desturi hiyo, utapata mwanamke wa ajabu na utahangaika maisha yako yote.
heheee we miss neddy mengine ni ya kubakia tu moyoni
Mi najua hakuna, i did my research.
hahaha ndo nini kutulambisha asali halafu wakimbiza buyu
Nendeni kwa PM si ajabu ndo bf wako
Sio yeye it happens stori anayohadithia zina relate in a certain way
Either way so touching n respectable
yes it is.... very touching yaani
By the way nna case na ww
Haha..tumpe muda atafunguka tu one day
Tehe tehe....inawezekana pia...nakumbuka our couple was the among the sounding one's pale chuo...everyone fell in love wth it..i knew km kuna ambae ana hisia kali anaweza kujua ths story belong to who an who...
Miongoni mwa vyuo vikuu vilivyopo morogoro