Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,028
- 1,051
Wasalaaam wana mmu..share wth me the story of the women i will always love and respect..
I clearly remember it was after orientation week that nilizoeana na uyu dada (ofcoz m hua n mcheshi na haswa to people i merely know)...uyu msichana alitokea kuvutiwa na mm and i saw it with time coz alianza zile za njoo tukae ote kwe pind (tulikua tunasoma barchelor moja)...nara oo unaenda kula wap...nkajua dada kashanielewa uyu.
Kusema kweli she wasnt tht prety kias cha kunifanya nijione nna bahat kumpata...alikua wa kawaida(moderate)...thn mazoea yakakua tulifikia sehem nkaona isiwe shida uyu dada asije akaniona sio rizk ngja nimsaidie....nkamaliza mchezo(nkamtongoza mm ingawa yy ndo alitakiwa kufanya ivo coz she showed interest first...ila kibongo bongo fresh m ndo nkamtia mistari kuzuga...penzi likaanzaaaa
Walah mwanzon nilikua namtumia...ila as time goes nkaanza kuona umuhimu wake.yule mwanamke anajua kujali jaman loooh!!!....she was like my everythn chuon pale....asbh pind tunapanda ote...tea sa 4 ote..mchana..uck....kujisomea ote...(ikawa kumbi kumbi style).nilimzoea na kumpenda kupitiliza...na zile plan za kusema nazuga zuga wkt natafuta a better place to hide ikaishia pale...nakumbuka ktk mahusiano kwa msichana wa kawaida sana ambae nime-date nae alikua yule (pale nilipata funzo kua mwanamke n zaid ya sura na umbo)
Tulikua wapenz kutoka the second week baada ya orientation mpaka tunamalizia mwaka wa mwsho kutokana na sababu ambazo ckuweza kuzivumilia ilibd tuachane... we went the separate way...ilikua kaz ngumu kusahauliana bt t was the only option...
Nineamua kushare na wana familia wenzangu wa mmu kuonyesha namna ambavyo pamoja na yote bt ths was my best women ingawa siwez kuendelea nae coz tayar ana maisha yake na soon anaweza kuolewa bt she remain the best and memorable women to me!..historia yake bado haijavunjwa
Wherever she iz mungu ampe maisha maref na familia yenye amani....she z my super star...