GoodHeaeted! Sasa huyo mdada katoka home na hapo kapelekwa na mme wake kamshusha kwenye gari wala hakuyaona hayo maungo yake! Wewe kwenye mitandao ya kijamii unayatamani vp maungo yake tena kwenye picha tuu!
Acha tamaa na jaribu kuepukana na zinaa!
Haya huko mtaani kwenu ni wangapi wanavaa jinsi! Au ulitaka aende hapo na Dera! Pimbi wewe!