Learn how to set multiple whatsapp account on single android handset

Jamiix

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
839
500
NOTE: INAHITAJI ADVANCE ANDROID USER,

ROOT SIMU YAKO (ATAKAE TAKA JINSI YA KUROOT ANI PM NA DETAILS ZA SIMU YAKE HASA KERNEL VERSION AMA BASEBAND)

UKIROOT KWA MAFANIKIO DOWNLOAD 2Lines for WhatsAPP KUTOKA PLAY STORE,ALAFU GRANT SUPER USER ACCESS, BAADA YA HAPO CONFIGURE HIYO APP BY ADDING NUMBER ZA SIMU UNAZOTAKA (NAMBA 2 TU),

KWA WALE WANAOTAKA PRIVACY MTIRIRIKO NI KAMA WA HAPO JUU ILA WATATAKIWA KU DOWNLOAD SwitchME APP FROM PLAY STORE,BAADA YA HAPO UTAONGEZA ACCOUNT(ADD) YA JINA LINGINE(HII INAFANYA KAZI KAMA COMPUTER INAVYOKUA NA USER ZAIDI YA MMOJA-AMBAPO APP,NAMES,ACCOUNT,LOGS,SMS ZINAKUA TOFAUATI NA ZINAJITEGEMEA KWA KILA ACCOUNT,HII ITALAZIMU SIMU KUZIMA NA KUWAKA TENA ILI KUBADILI USER ACCOUNT).

KUTOKANA NA MWASWALI YATAKAVYO ULIZWA NITAZIDI TOA UFAFANUZI SEHEMU ZITAKAZO KUA NGUMU
 
Jamiix

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
839
500
Okey,ina android ipi!?,kuna njia rahisi sana naifanyia kazi sa hv,ntakuelekeza,ila computer lazima iwe na microsoft .NetFramework 2.0+ (ili hii ya SuperOneClick ifanye kazi)

Ama waweza tumia njia zingine,nakutumia punde
 
kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,502
2,000
hizi harakati zote sijui za kuroot android,sijui multiple whatsapp account cjui bla bla ni kwa ajili ya nini?what is so special.?au ndo kuonyesha ujuaji like how a certain progamme can be tempered.mi mshamba jamani mniwie radhi kwa maswali yangu.lol
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,617

kila app ya Google playstore ina descrption emu ingia usome basi walau au unataka niku copie nikuwekee hapa
pia kuhusu ku—root simu mbona faida zimeelezwa nyingi humu
 
Jamiix

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
839
500
Unajua kila mtu anamahitaji yake,na hayawezi kufanana na yako,wapo wanaotaka na wanaona faida zake,we acha tu haikupunguzii kitu,ila naamini ipo siku utakuja tu na ukataka msaada,i guess ntauliza ulichouliza leo
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,214
2,000
NOTE: INAHITAJI ADVANCE ANDROID USER,

ROOT SIMU YAKO (ATAKAE TAKA JINSI YA KUROOT ANI PM NA DETAILS ZA SIMU YAKE HASA KERNEL VERSION AMA BASEBAND)

UKIROOT KWA MAFANIKIO DOWNLOAD 2Lines for WhatsAPP KUTOKA PLAY STORE,ALAFU GRANT SUPER USER ACCESS, BAADA YA HAPO CONFIGURE HIYO APP BY ADDING NUMBER ZA SIMU UNAZOTAKA (NAMBA 2 TU),

KWA WALE WANAOTAKA PRIVACY MTIRIRIKO NI KAMA WA HAPO JUU ILA WATATAKIWA KU DOWNLOAD SwitchME APP FROM PLAY STORE,BAADA YA HAPO UTAONGEZA ACCOUNT(ADD) YA JINA LINGINE(HII INAFANYA KAZI KAMA COMPUTER INAVYOKUA NA USER ZAIDI YA MMOJA-AMBAPO APP,NAMES,ACCOUNT,LOGS,SMS ZINAKUA TOFAUATI NA ZINAJITEGEMEA KWA KILA ACCOUNT,HII ITALAZIMU SIMU KUZIMA NA KUWAKA TENA ILI KUBADILI USER ACCOUNT).

KUTOKANA NA MWASWALI YATAKAVYO ULIZWA NITAZIDI TOA UFAFANUZI SEHEMU ZITAKAZO KUA NGUMU

Wakuu mi nina shida nyingine ,natumia sony ericsson xperia. Badala ya google playstore yenyewe ina market .nimekuwa nikijaribu ku upgrade ili niweke playstore bila mafanikio hasa ukuzingatia kuwa kuna apps nyingi sana hazipo humu kwenye market.
Naomba anaejua anielekeze cha kufanya
 
Jamiix

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
839
500
Xperia ipi!?,ina android ipi!?,mostly google apps zinatakiwa zijitambue zenyewe na ziji download kila panapokua na version ingine,
Kwa kuanza hebu enable option ya ku upgrade automatically via wi fi na data,uone kama itakubali,otherwise upgrade android version yako,through WI Fi as (OTA) ama sony ericsson companion,hii ukichomeka tu kwenye PC na ikawa sawa itagundua latest firmware kwa ajili ya simu yako
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,617
2,000
Wakuu mi nina shida nyingine ,natumia sony ericsson xperia. Badala ya google playstore yenyewe ina market .nimekuwa nikijaribu ku upgrade ili niweke playstore bila mafanikio hasa ukuzingatia kuwa kuna apps nyingi sana hazipo humu kwenye market.
Naomba anaejua anielekeze cha kufanya

google playstore ni app ya kawaida search na Google "google playstore apk" download hiyo apk afu install umemaliza.....lkn enable simu yako ku install non market apps...au pia waweza tafuta BLACKMART ALPHA
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,214
2,000
google playstore ni app ya kawaida search na Google "google playstore apk" download hiyo apk afu install umemaliza.....lkn enable simu yako ku install non market apps...au pia waweza tafuta BLACKMART ALPHA[/
Ok thanks mkuu
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,617
2,000
Okey,ina android ipi!?,kuna njia rahisi sana naifanyia kazi sa hv,ntakuelekeza,ila computer lazima iwe na microsoft .NetFramework 2.0+ (ili hii ya SuperOneClick ifanye kazi)

Ama waweza tumia njia zingine,nakutumia punde

Mkuu nimekwama...ninazo whatsapp line mbili moja iko kwa 4ne ingine kwa TAB
sasa imekuja kwamba kwenye TAB ndo nimeweka 2 lines whatsapp lkn huku kwenye Simu naambiwa ni-verify tena namba sasa hiyo si niki-verify nikirudi kwa TAB watanambia hivo hivo na mchezo utakuwa huo huo
au mm sijaelewa si hii app inakuruhusu kutumia simultaneously 2 account in different devices
 
juma mlugala

Member
Dec 25, 2013
12
0
Mkuu Samahani kwa usumbufu naomba msaada wa software ya kuweza km download vidio ya live mfano taarifa ya habari kwenye laptop
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom