Learn english here at JamiiForums

Kipi kitanisaidia ili niweze kuzungumza hiyo lugha iliyokuja na ndege (kizungu)
 
No I'm not, but I like the language and I have been putting much efforts to learn the language. also help in one way or another those who are eager to learn the language.
Thank you very much. Some of us we really need your assistance. Ntazidi fuatilia masomo yako. Asante.
 
Mimi nna swali mfano unataka kumfundisha mtu english na mtu huyu hajui chochote kabisa kuhusu hii lugha, je unaanzia wapi?
Mimi nna swali mfano unataka kumfundisha mtu english na mtu huyu hajui chochote kabisa kuhusu hii lugha, je unaanzia wapi?
je anajua kusoma na kuandika? naomba nianzie hapo.
 
Jukwaa zuri ili najua ntaambulia chakisumbulia mtaani
 
congratulation for trying to teach others how to lean & speak English, but I think you should translate it in swahil in order to make easy to swahilian (waswahili) to lean it, ila hapo naona wataelewa wale wenye msingi wa kiingereza tu.
 
English Conversation

Learn English Speaking English Subtitles Lesson 01

 
Mimi nina shida ya kuuliza swali moja kwa Kiingereza ila ninashindwa! Anayeweza kunisaidia ninaomba msaada wake. Swali lenyewe ninalielekeza kwa mzazi wangu (Baba).
swali lenyewe liko hivi:
"Hivi Baba, mimi ni mtoto wako wangapi? "
Naomba kuwasilisha.
Karibuni wadau.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…