Learn english here at JamiiForums

Learn english here at JamiiForums

Hili jukwaa litatusaidia sisi ambao hatujiwez
 
Kinachonishinda hii lugha kimoja tu.Pale mzungu anapozungumza yaani lafudhi yake.
Anaposema "bera" wakati ni "better".
 
Mimi nina shida ya kuuliza swali moja kwa Kiingereza ila ninashindwa! Anayeweza kunisaidia ninaomba msaada wake. Swali lenyewe ninalielekeza kwa mzazi wangu (Baba).
swali lenyewe liko hivi:
"Hivi Baba, mimi ni mtoto wako wangapi? "
Naomba kuwasilisha.
Karibuni wadau.
?
 
I had had breakfast. Maana yake . Lugha ya kiingereza INA verbs aina tatu. 1. Action verb 2.verb to be 3. Verb to have. Swali lako linajikita kwenye verb to have. Verb to have inakumilikisha kitu. Kwa mfano ' Nina gari' I have a car.hii ni present simple.Have hapa inatumika kama verb ya kawaida.past participle ya have/has ni had. Kwa hiyo past perfect ya hiyo senjtence ni ' I had had a car. Kumaanisha nilikuwa nimekuwa na gari kama vile unaweza kasema kwenye verb ya kawaida l had seen you. Nilikuwa nimekuona.
 
congratulation for trying to teach others how to lean & speak English, but I think you should translate it in swahil in order to make easy to swahilian (waswahili) to lean it, ila hapo naona wataelewa wale wenye msingi wa kiingereza tu.

some times grammar transilation method is difficult to be employed especiall for begginers of english lg learning......
may be try to use. suggestopedia or direct method of teaching......

but grammar translation method isnt sweetable.
 
Kazana kujifunza acha majungu. Mnapewa tuition ya bure badala ya kusukuru mnaleta upuuzi. Hii ni fursa inaweza kukusaidia kuacha kulialia hovyo JF
Eti bwana wanaacha [HASHTAG]#KUSUKURU[/HASHTAG] wanaleta upuuzi
 
Soma haya maneno, swali litafuata, Strongly believe, supersonic speed.
Swali naomba kujua haya maneno "strongly" na "supersonic" yanaitwaje kwa kingereza maana ukiangalia ni kwamba yanaipa nguvu zaidi verb inayofuata
 
Back
Top Bottom