Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
cheki posts za nyuma kuna video nmeelekezaMkuu hyo acute I'd tunaipata vepe
cheki posts za nyuma kuna video nmeelekezaMkuu hyo acute I'd tunaipata vepe
check the previous posts, kuna link ya youtube imeelekeza vizuriMkuu hyo acute I'd tunaipata vepe
Yap! Hiyo ya refund ipo na ni kawaida tuRefund
Yap! Hiyo ya refund ipo na ni kawaida tu
Ila hapa na jamaa tulikuwa tunazungumzia kulipwa fedha za kigeni kwa kufanya kazi mbalimbali mtandaoni kama AdSense, freelancer,affiliative n.k au hata kutumiwa fedha na mtu kwa PayPal hiyo kwa Tz bado haijakubaliwa.
Utawekaje postal code ya Tz wakati kwenye sehemu ya kujaza nchi hujaijaza Tz na haipo kwenye list ngoja wataalamu waje watupe muongozo jinsi ya kujisajiri lakini kwa msaada wa jinsi ya kupata postal code ingia Google andika Tanzania postal code utaingia utachagua mkoa uliopo na wilaya yako utakuta postal code ya kitongoji ulichopo kama upo posta au buguruni utaona postal code ya sehemu yakoWakuu Post Code ya TZ ni ip?
Nenda kwenye izo video mbili apo juu za maelekezo, zisikilize kwanza mara mbili na kwa umakini kabla hujaanza kufanyia vitendo ndo utaelewa.wakuu nimefika hapa mbona inaleta haya maandishi kuassemble , nahitaji mwongozo
Complicated nimeanzisha acc kadhaa za FB wamezifutaa ha ha kuna moja nilianzisha saa tatu usiku kesho naamka nakutana na friend request mia sita...na mabalaaa kibaoMimi nauliza hivi, ukishatengeneza hiyo fake account kule FB kisha page. Je, kule clickbank unaweka jina lako halisi au unajisajili vipi?
Kureceive cash mkuu na kuwithdraw that cash. Kua muelewa basAliesema Paypal haiweki Tanzania ni muongo. Mi nafanya purchase sana tu online through my paypal account bayo nime link na card yangu ya bank so natupiaga hela kwenye wallet na app yake inanipa update kila transaction.
So ulifanikiwa au vipi unajuwa tupeanae experience namna ya kuzifanya account zetu ziwe active.Complicated nimeanzisha acc kadhaa za FB wamezifutaa ha ha kuna moja nilianzisha saa tatu usiku kesho naamka nakutana na friend request mia sita...na mabalaaa kibao
Bado nafanya utafiti mpyaSo ulifanikiwa au vipi unajuwa tupeanae experience namna ya kuzifanya account zetu ziwe active.
Nimeshafungua akaunt, nimeweza kucrack acute email id generator na inafanya kazi. Jana tu imenipa email 2200 bado kufungua yahoo mail na kuanza kurequest hizo friendship fb na kufungua akaunt ya clickmailAisee aliefaulu anipe mchongo nami nikimbize
Kwa refund ni sawa.Refund
Kwa refund ni sawa.
Fedha inarudishwa kwenye card ilikotoka.