[Leaked] Facebook Wealth Formula,500$ Daily without having Website or A Product

Jamani tusaidiane njia za kuongeza traffic......maana FB mark ukiadd friends kwa email list anakufungia account fasta sana. Tupeane mbinu....mimi napost kwenye groups kama watu wa blogging.
 
Hey Gys naona bado mnaisoma hii posti, Hii njia ilishafungwa kitambo sana sikuhizi facebook uki add marafiki wengi usiowajua kwa email list unafungiwa account chapchap
Mkuu Machozi, VP wew kuhusu hii ishu ya clickbank tukiachana na traffic ya fb ambayo kiukweli sio nzuri sana, umeshafanikiwa kuuza baadhi ya products za CB na kupata commission yako. Na ni njia gani unatumia kwenye mchakato mzima.
 
kiukweli wale clickbank nliwaacha, nlutumia vpn nkajisajili fresh ila wakaja kugundua sio mda
 
Kwa mtaotaka kutumia njia hii

1.njia hii inahusisha fake f.b profiles : usiupload picha za watu wa fb au za kusearch google (kama alovyoandika writer) mana facebook wanaweza kutambua sio picha zako halisi na watakufungia account, so inabidi muupload picha ambazo hazipo fb wala google images.

2.usilogout profile ya f.b utakuwa disabled endapo utafata njia ya mwenye kitabu..i recommand one browser one fb account and do not log out.

3.kuupload contacts tumia google contacts(njia ya yahoo ya mwandishi inazingua nowadays) lakini hakikisha csv file yenye contacts isizidi contacts 5,000 na pia huruhusiwi kuupload csv files zaidi ya mara tano kwa siku moja lasivyo waweza kufungiwa hii feature so upload csv files angalau tatu kwa siku moja each not exceeding 5000 emails.

4.Acute email id generator ambayo muandishi katurecommand tutumie ni elf 52 lakini good news ni kwamba inaweza kuwa cracked so ukiitaji cracked version ntakufundisha kuivunja

5.Baada ya kupitia changamoto zilizofanya account zangu 5 ziwe banned saizi nmesahisha makosa kwa tips 1- 3 kwa sasa accouny yangu ina marafiki 4600 kilichobaki kwa sasa napiga mpunga kwa click bank japo sio dola 500 kama muandisho alivyoahidi lakini kwa siku hizi za mwanzo napiga average dola 30 kwa siku kwa kazi ya dakika 5 kwa siku:)o_O

NI hayo tu
Aiseee tunaweza wasiliana nje ya comment za hapa jf ?
 
Hii trick nazani ilikuwa sio mahususi kwa nchi kama TZ, coz click bank hawaitabui nchi ya Tz, pia now days hii trick naona haifanyi kazi fb kwani ukifungua fake a/c za fb na ku add marafiki via email generate unafungiwa hapo hapo.
In General hii trick haifanyi kazi hapa bongo kwa ujumla sasa.
 
Msaada nikifika hapo kwenye Ku right click na kuweka hio code, nikipress OK inaambika 'No memory on the specified address'
 
Kwa mtaotaka kutumia njia hii

1.njia hii inahusisha fake f.b profiles : usiupload picha za watu wa fb au za kusearch google (kama alovyoandika writer) mana facebook wanaweza kutambua sio picha zako halisi na watakufungia account, so inabidi muupload picha ambazo hazipo fb wala google images.

2.usilogout profile ya f.b utakuwa disabled endapo utafata njia ya mwenye kitabu..i recommand one browser one fb account and do not log out.

3.kuupload contacts tumia google contacts(njia ya yahoo ya mwandishi inazingua nowadays) lakini hakikisha csv file yenye contacts isizidi contacts 5,000 na pia huruhusiwi kuupload csv files zaidi ya mara tano kwa siku moja lasivyo waweza kufungiwa hii feature so upload csv files angalau tatu kwa siku moja each not exceeding 5000 emails.

4.Acute email id generator ambayo muandishi katurecommand tutumie ni elf 52 lakini good news ni kwamba inaweza kuwa cracked so ukiitaji cracked version ntakufundisha kuivunja

5.Baada ya kupitia changamoto zilizofanya account zangu 5 ziwe banned saizi nmesahisha makosa kwa tips 1- 3 kwa sasa accouny yangu ina marafiki 4600 kilichobaki kwa sasa napiga mpunga kwa click bank japo sio dola 500 kama muandisho alivyoahidi lakini kwa siku hizi za mwanzo napiga average dola 30 kwa siku kwa kazi ya dakika 5 kwa siku:)o_O

NI hayo tu
msaada kwenye hili mkuu unahitajika.
 
Back
Top Bottom