Hii hukumu haikuandikwa na Rwakibarila, Imeandikwa na Dr Masumbuko Lamwai, Rwakibarila kapewa desa tu hapo na kusoma na kuandika jina lake. Hii ni 'miscarriage' kubwa sana ya justice kuwahi kutolewa na mahakama kuu.
Halafu na hii lugha ya ma-lawyer..dah! inazungukazunguka utadhani kucheza ukuti vile.OMBI: Jamani tusi-reply with a quote hii habari. Ni ndefu mno, mtawatesa wanaotumia simu.
kweli kizungu kinatisha, maana wachangiaji hapa siwaoni.
jamani iatafsiriwe kwa kiswahili
kweli kizungu kinatisha, maana wachangiaji hapa siwaoni.
jamani iatafsiriwe kwa kiswahili
Wadau nimepitia hukumu ya huyu jaji na ninaona inamapupungufu makubwa. Hakukuwa na ushahidi wa kiwango cha kutosha kuweza kuthibitisha kama kweli yale maneno yalitamkwa na LEMA. Ushahidi umetolewa wa mtu mmoja mmoja kwa kila tukio. Kisheria ushahidi huu ni sharti uungwe mkono vilivyo na ushahidi wa mtu au watu wengine yaani uwe collaborated. Hili katika kesi hii halikufanyika there is no collobarative evidence on all the alleged events!. Suprisingly, katika siku za leo hii nilitegemea maneno yao yaungwe mkono na picha ya video etc au recorded speech lakini hili hakuna na jaji kaliachia na kudhani wamethibitisha madai yao on balance of probability
Pili Walalamikaji hawakwenda kuthibitisha ni vipi maneno yale yamewaathiri wao kama wapiga kura katika huo uchaguzi ukizingatia wengine wanakiri katika ushahidi wao hawana chama wala maslahi yeyote ni vipi sasa wameathirika? Na kama wakisema Buriani ndiyo ameathirika then wao hawan haki ya kulalamikia hilo yao cause of action. Kwani kwa tasfiri ya jaji mtu yeyote mwenye kitambulisho cha kupiga kura anahaki ya kuleta malalamiko yeyeto dhidi ya mgombea. Nadhani hii sio tafsiri sahihi lazima kuwe na mipaka ya kile mlalamikaji anachokileta na kipimo kiwe yeye kama yeye ameathirika vipi...
Kwa sasa ni haya wadau tuendelee na analysis ya judgememt!
Haya wanashetia wetu tusaidieni, mafafanuzi ya hukumu hii, lakini pia tunaomba utetezi wa Lema kutoka kwa wakili wake tulinganishe na hukumu!
Wakati mwingine tuacheni utumwa wa fikra, ni kweli hicho kizungui kigumu, je kutojua kizungu ni tatizo? au ndiyo kuendelea kutawaliwa na wakoloni hadi kwenye bongo zetu, ningetamani mngesema kaaa, wakati mwingine hizi hukumu ziwe za kiswahili, hivyo hiyo Lugha pale mahakamani inatekelezwa Uingereza? tuacheni ushambaUmejuaje? Lakini c kidhungu tatizo si wote tumesoma sheria, wengine ni ma Dr, Acc. Au etc
Nimeipitia ila kuna walakini kwenye vipengele vya maamuzi ya hukumu!
Umejuaje? Lakini c kidhungu tatizo si wote tumesoma sheria, wengine ni ma Dr, Acc. Au etc