le proffesor lipumba live startv muda huu

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,910
5,081
mjadala unaendelea wa kujadiri mgogoro ndani ya cuf.
lipumba yuko DSM
mzee hamduni yuko Mwanza
 
mzee hamduni: Seif alifanya makubaliano ya siri na chadema ili awaachie bara nao wamuachie zenji
 
huyu mtangazaji mollel wa DSM hawezi mahojiano
 
lipumba: lowasa ndo alimfanya ajiuzuru.
 
huwa namkubali sana aloyce nyanda Leo sijui yuko wapi, huyu mollel na mwanasheria wake ni wanachadema pure, kahakikisha anaharibu mjadala.
mwanasheria kapigwa kombora Moja tu chali anatoa macho tu
 
kama ndo wanasheria Hawa safari bado ndefu
 
Aseme jinsi alivyopewa posho na wazee wa nssf na mum ili asaliti ukawa dakika za mwisho.
Aeleze Kwa nini alisema amepata kazi Rwanda badala yake kaenda hija karudi hana cha kufanya kafuatwa tena aharibu ukawa
Aeleze majina ya wabunge katoa wapi na wakati sheria inasema Yale yaliyopelekwa kipindi cha uchaguzi mkuu ndiyo yateuliwe
Haoni kuwa yeye ndiyo chanzo cha mgogoro cuf sasa hivi?
Kipindi chote cha nyuma wakati yeye akiwa mkiti cuf ilikua na mbunge 1 tuu bara na baada ya yeye kukimbia sasa ni zaidi ya 5 haoni kuwa hiyo ni hatua????
Haoni kuwa cuf aliyonayo yeye ni ya kibaguzi ni ya watu wa TABORA na CCM tuu?
 
Toka zamani CUF niya Tabora, maalim aliipora kwa james maparara, machozi ya maparara hayamuachi seif salama
 
Back
Top Bottom