mzee yupiHuyu mzee ni hasara
Aseme jinsi alivyopewa posho na wazee wa nssf na mum ili asaliti ukawa dakika za mwisho.
Aeleze Kwa nini alisema amepata kazi Rwanda badala yake kaenda hija karudi hana cha kufanya kafuatwa tena aharibu ukawa
Aeleze majina ya wabunge katoa wapi na wakati sheria inasema Yale yaliyopelekwa kipindi cha uchaguzi mkuu ndiyo yateuliwe
Haoni kuwa yeye ndiyo chanzo cha mgogoro cuf sasa hivi?
Kipindi chote cha nyuma wakati yeye akiwa mkiti cuf ilikua na mbunge 1 tuu bara na baada ya yeye kukimbia sasa ni zaidi ya 5 haoni kuwa hiyo ni hatua????
Haoni kuwa cuf aliyonayo yeye ni ya kibaguzi ni ya watu wa TABORA na CCM tuu?
Kuna watu wanajuwa kujenga na wengine wanajua kubomoa. Lipumba ni professional kwa kubomoa hata ile msingi mdogo uliojengwa CUF