Ndio nani huyo? ??
Kwaiyo kuna watanzania wanalipa pesa kwenda kupiga selfie na huyo jamaa hapo?
Lemutuz anahitaji maombi ya dini zote duniani maana hii si kawaida
Bilionea Ben Mulokozi.
Anajihusisha na nini mjini
Na kwa nini mtu aache yake atafute selfie nae...what soooo special????
Hahahahahaha uknw lemutu ni azina kwa taifa atunzwe!
Kwaiyo kuna watanzania wanalipa pesa kwenda kupiga selfie na huyo jamaa hapo?