Kuna kaukweli furani nyuma ya pazia ndio mahana huyu huwa anamtaja sana mitandaoni
Huu mjengo ni wa mpiga kura ccm au ni nini jamaa anafanya.
Huu mjengo ni wa mpiga kura ccm au ni nini jamaa anafanya.
Uzuri au ubaya wa huyu jamaa ni kwamba hana aibu!
akiwa na mmojawapo ya wale wajinga 6,000 waliohudhuria party yake ya instagram, kitendo ambacho kilimpa uhakika kwa nini foreigners hawataki kuondoka bongo..ok basi saaaawa bana
View attachment 175498