Le Mutuz enzi hizo

Le Mutuz enzi hizo

nchemime

Senior Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
139
Reaction score
220
d910549d7fa06e44d537f2137f3d1c21.jpg
 
Sasa ndiyo kawa Kijana kabisa,hakosi night clubs,babies kwa sana.enzi hizo alikua mtu mzima
 
Hahaaaa alikua na panki. Saiv nywele zinakimbilia kisogoni kapiga zungu

Ila huyu jamaa atakua vampire aisee
 
Haoni aibu mwenzie amekuwa milionea yeye amebaki kujikomba kwa watoto sawa na wajukuu zake
 
Sasa ndiyo kawa Kijana kabisa,hakosi night clubs,babies kwa sana.enzi hizo alikua mtu mzima


Alikuwa mtu mzima that time back in 1992 ila kwa sasa kawa mtoto ama kijana zaidi na kufanya vitu vyake vya kitoto.
 
Back
Top Bottom