Udaku Specially Imefanikiwa kupata Picha ya Baby ake Lemutuz , leo kupitia Instagram yake lemutuz_nation Mzee Mzima na Business Man wa Ukweli Lemtuz Amepost Picha Hiyo Hapo Juu na Kuandika Maneno haya Hapa Chini:
Usikute mzee wake huwa anajutia usiku aliompata huyu bilionea bora hata angetumia ndom maana maana akili zake kipindi anafunga pampaz na leo hazina tofauti
ukiwa na umri wa huyu jamaa halafu hujao ni tatizo sana...pia kujump stage ya makuzi ni mbaya sana ,,sasa jama vitu ambavyo alipaswa kufanya akiwa 30's anafanya akiwa late 60's
Hivi kipindi kile si vikao vya harusi vilikuwa vimeanza? Coz nakumbuka wale friends zake le mutuz ambao ni billionaires walisema harusi yote wataigharamia wao na le mutuz akasema if possible harusi itafanyikia uwanja wa taifa sijui vile?