mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
Hahahahaha....nimecheka sana
kuna watu watadhani picha ni ya le mutuz halisi
Weka nyumba ya mamako ili tulinganishe!
Huyu jamaa sijui ana damu ya kunguni! Kila ikiona jina lake lipo sehemu subiria mvua ya mawe.
mwanamme unabinuka unaacha bluetooth on?tena full virus?
JF ina raha zake, all the time.
Ana umbo la kipekee
Mkuu, Siku hizi JF wakati mwingi ni kero. Raha ni kwa uchache.Hapo vipi mkuu.....
mwanamme unabinuka unaacha bluetooth on?tena full virus?
Maskini CCM imekosa kabisa vijana! Vijana wao ndio hawa sasa!
Mkuu, Siku hizi JF wakati mwingi ni kero. Raha ni kwa uchache.
Teh teh teh ukitaka kucheka basi ingia jf hutakosa tabasamu .
jamani huyo le mutuz ndie nani mbona maarufu sana hapa jf