Le Commandant comrade Makonda yuko wapi?

Anawasalimu.
tapatalk_1575104947542.jpeg

dodge
 
Analifanyia kazi tumbo la Isaya Mwita ili lipungue aisee...!
 
Kajificha kwa aibu iliyotokea majuzi baada ya mission yake ya kumwondoa meya kufail! Au Ana kikao na waziri wa tamisemi juu ya kushindwa kwa mpango wao na huenda kuanzia kesho mmojawapo atatoa tamko!
 
Kajificha kwa aibu iliyotokea majuzi baada ya mission yake ya kumwondoa meya kufail! Au Ana kikao na waziri wa tamisemi juu ya kushindwa kwa mpango wao na huenda kuanzia kesho mmojawapo atatoa tamko!
Unamaanisha zoezi la kumuondoa Mwita lilishikana ?
 
Nakumbuka Last Year December
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Alimwambia Ruksa Kwenda Kupumzika Popote Upendapo Baada Ya Kazi Nzuri Ndani Ya Dar es salaam
 
Back
Top Bottom