Le Band ft Suzziah- Number 1

Le Band ft Suzziah- Number 1

roservelt

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
1,418
Reaction score
1,520
Le band kutoka 254 Kenya wamerelease ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "Number 1" na kumshirikisha msanii Suzziah. Ni bonge la ngoma lenye kichupa kikali, melody imesimama na ujumbe mzuri hasa kwa wale wapendanao. Enjoy it then drop your comments!!!


 
Mnatafuta miziki inayotamba Leo na kesho imefutika?
Miziki isiyowasaidia kitu?

Mathayo 6: 33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
 
Back
Top Bottom