Labda atakuwa huyo mwenye shati nyeupe aliyekaa chiniDuh hamna majeruhi?
Umeandika kama umekalia ukuni wa YerikoWakuu Anayejua the real story on what happened atuambie ,maana naona story wanasema ilikuwa ya mteja inatestiwa na gari haijakatiwa ata bima dahhh
Mzee wa honda haupoiKama ni T777ELR Ina Comprehensive iyo. View attachment 3697794
Unless iwe nimekosea kusoma Namba. View attachment 3697795
Bima ipo mkuu, dig deepKwa mujibu wa comments wanasema hamna,ni gari tu ndo imeumia kama unavoona mbaya zaidi haina ata bima
Anatoa maelezo mafupi mafupiUmeandika kama umekalia ukuni wa Yeriko
Labda namba ya kubumba wanajua wale wa nguo nyeupe hawaangaiki nazoHahahaha sema Kuna vitu havipo sawa. Hii gari ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya Kondoo.
Details zinasema ni Prado, 2nd gen (J90/95) ila muonekano LC300. Usikute wamevalisha body, ila chassis number haidanganyi.
Nimecheki inspection ya week la nenda usalama, inasema ni Prado.
Insurance, inasema ni Prado.
Unless iyo number plate, niwe imeikosea kusoma: T777ELR
Hahahaa cha moto watakiona.Labda namba ya kubumba wanajua wale wa nguo nyeupe hawaangaiki nazo
Kama ni T777ELR Ina Comprehensive iyo. View attachment 3697794
Unless iwe nimekosea kusoma Namba. View attachment 3697795
Hahahaha sema Kuna vitu havipo sawa. Hii gari ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya Kondoo.
Details zinasema ni Prado, 2nd gen (J90/95) ila muonekano LC300. Usikute wamevalisha body, ila chassis number haidanganyi.
Nimecheki inspection ya week la nenda usalama, inasema ni Prado.
Insurance, inasema ni Prado.
Unless iyo number plate, niwe imeikosea kusoma: T777ELR
Basi Ni Kisanga.Hapana mkuu ni EUR
Tulikuwa wote mtaani kwako?Wakuu Anayejua the real story on what happened atuambie ,maana naona story wanasema ilikuwa ya mteja inatestiwa na gari haijakatiwa ata bima dahhh