Lazima utanivulia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lazima utanivulia

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Nov 12, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Huna ujanja lazima utanivulia,hata kama ungengombana na mimi lazima utanivulia ch*pi,lazima utanikali,utasikia raha na siku nyingine
  utanikalia tena mpaka uridhika,utanikalia ukiwa uchi na hutaona aibu.....hayo ni maneno choo ilikuwa inamwambia mtu.
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo alifariki dunia kwa ugonjwa wa moyo.Wananchi,ndugu,jamaa,mara
  fiki na majirani waliamua kumuenzi dokta kwa kumchongea jeneza zuuuri lenye shape ya moyo.Wakati maelfu ya watu wanapita kutoa heshma za mwisho na kuaga mwili wa marehemu,ghafla wakasikia mtu anacheka sana tena kwa sauti ya juu.Watu walidadisi wakagundua anayecheka alikua akifanya kazi na marehemu.
  Ndipo Padri akaenda kumuuliza
  PADRI:Ndugu mbona unacheka sana na unajua hapa ni msibani?Au umefurahi mwenzako kufa?
  JAMAA:Hahahahahaha nisameheni jamani.Mimi najiuliza siku nikifa jeneza langu litakuaje,maana mim ni daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake..hahaha.
  padri alienda kuchekea stoo.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Majamaa wawili walikuwa walikutana kwenye seat moja ndani ya basi,
  jamaa mmoja akamwuliza mwenzake,mbona unawaza sana ndugu yangu,
  jamaa akajibu nina matatizo ya kifamilia,mi na mke kila siku ugomvi.
  jamaa akamjibu huna matatizo ya kifamilia kama mimi,
  Mi nilimwoa mjane ambaye alikuwa na binti mwenye miaka 19,halafu baba yangu
  akamwoa huyo binti na kuzaa naye, kwahiyo watoto wa hao binti yangu ambaye ameolewa na baba yangu
  wananita kama babu halafu ndugu upande wa baba yangu wananita baba mkwe,halafu watoto wa binti huyo wanajua baba yangu ndo kijana wangu.je una matatizo kama mimi kweli?
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ah haaaa haaa haaaaa...................duuuuh hyo ya kwanza noma
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Duhh.,makubwa.
   
 6. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hahaha weekend hiyooooo!
   
 7. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  kwi kwi kwi
   
 8. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 868
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 180
  Ya pili ni Kali sana
   
 9. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If this is your creation,you deserve being a philosopher
   
 10. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  dah,ya pili nimeipenda sana!
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  duh! Jamaa watamzika na jeneza la K! Nalog off
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ni mkanyagano tu. Nalog off
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  khe the the kweli profesheno nyingine ni nouma
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Madingi wa siku hizi ni nouma wanaung'ang'ania mno
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  All of the above good are jocks bravo to u all post
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  thanks shine
   
 17. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Mh!...
   
 18. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii, ilitakiwa iwe THREAD inayojitegemea
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  asante sana
   
 20. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  LOL!mi am DWL!
   
Loading...