Lazima unune!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
TABASAMU
Jamaa karuhusiwa kutoka hospitali
ya vichaa, akapandishwa kwenye
ambulance hadi karibu na kwake,
akaulizwa unapakumbuka kwako?
akajibu ndio nyumba yangu ileee,
wakatoka watoto wawili wamevaa unifom
akasema wanangu walee
wanaenda shule, akatoka
mwanamke akasema mke wangu
yule, ghafla akatoka mwanaume
akasema na mimi yule naenda
kazini.
 

Wamrudishe hospitali.....!
 
hilo nalo ni tatizo...teh teh teh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…