Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,628
- 9,570
Ccm ubongo wametupa kwenye dustbin. Kuwaza wamemkabidhi Maguful..hatari sana
Chama Cha MazezetaCcm ubongo wametupa kwenye dustbin. Kuwaza wamemkabidhi Maguful..hatari sana
Anzisha lako uuze 25k. Mwanaume unajiita Jane😂😂😂😂Washushe mpaka 25,000 kama wana jeuri
😁😁 huyo mama anayeondoka amekunja ngumi kuashiria mi5 tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anzisha lako uuze 25k. Mwanaume unajiita Jane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa mkuu, mpaka ukiwa ugenini inabidi uongope kuhusu utaifa wako sababu ya JiweJiwe ametufanya Watanzania wote tuonekane wapumbavu.