Lazima niende kugombea ubunge jimbo la Bahi Dodoma

Namtambua Mathias Paul Lyamunda mgombea kupitia CHADEMA kaweka kambi mda mrefu sana huku anajenga chama na amewapigania wanabahi mambo mengi sana,kama we ni Kamanda wa kweli nenda tu kwa vike ni haki yako ya kidemokrasia Chadema wanaruhusu ila akisimama Lyamunda utaondoka na kura yako mwenyewe tu.
Master Legendary huku kazi ni moja tu kuifanya CCM Chama cha upinzani Bahi.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wanaJF,jimbo la bahi ni moja ya majimbo hapa nchini yanayoongozwa na CCM tangia mfumo wa vyama vingi uanze na kabla ya.ndugu zangu sifa zote ninazo za kugombea na nia ya dhati kabisa ninayo.

Ninasikia kuna viwatu vinapitapita huko na kudanganya danganya wananchi wangu,naomba waache mara moja. Wananchi wangu CHADEMA ni yenu na yetu sote, mbunge wenu nakuja na naomba msiwasikilize wapumbafu wanaokatiza katiza huko.

Mwenye mawazo ya kunisaidia tafadhari mnaweza kunishauri kwa lolote,karibu wanajamvi.
Issa, wewe unapenda wanaume... wanawake watakuchagua kwelii maana watahisi huwapendi... Ebu soma hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/787210-kwangu-mwanaume-sura-sio-pesa-pesa-ni-makaratasi-tu.html

Ndugu zangu wanaJF,jimbo la bahi ni moja ya majimbo hapa nchini yanayoongozwa na CCM tangia mfumo wa vyama vingi uanze na kabla ya.ndugu zangu sifa zote ninazo za kugombea na nia ya dhati kabisa ninayo.

Ninasikia kuna viwatu vinapitapita huko na kudanganya danganya wananchi wangu,naomba waache mara moja. Wananchi wangu CHADEMA ni yenu na yetu sote, mbunge wenu nakuja na naomba msiwasikilize wapumbafu wanaokatiza katiza huko.

Mwenye mawazo ya kunisaidia tafadhari mnaweza kunishauri kwa lolote,karibu wanajamvi.

= tafadhali
 
Back
Top Bottom