Lazima niende kugombea ubunge jimbo la Bahi Dodoma

Mimi mwenyewe nimeanza kujipitisha nataka nimtoe badwel anachafua chama chetu kwa rushwa
 
Kamanda mi pia nakuja kujaribu bahati hvyo tutakutana kwenye uchaguzi ndani ya chama.tuungane tumtoe badwel mbakaji wa vijana wa kiume pale chipanga
 
Mwaka huu ccm awezi kupita bila kupigwa,ili apite bila kupigwa lazima atumie pesa nyingi sana
 
wewe mwenyewe hata pakulala hauna eti unagombea

sina tatizo kuanzia maswala ya nyumba,wala usafiri.maisha niliyonayo hata kama nisingeenda kugombea sina shida hata kidogo.nataka kwenda kuwakomboa wanabahi angalau waweze kufaidi our national cake
 
issa ramadhani huna hati miliki ya jimbo na hakuna viwatu bali wapo watu wanapita nikiwemo mimi. wananchi wa bahi ni watanzania na wamo wana ccm wengi zaidi ya wana chadema. usiwe na munkari wala presha, subiri na nia yako kwani hata huko kwenu chadema tayari kuna watu watano nawafahamu wamejipitisha bahi wewe ni wa sita. kwetu ccm sijajua nani mwingine zaidi yangu na mbunge baldwel na mimi naamini mheshimiwa baldwel atavuka mtihani wake unaomkabili na atasimama tena na atashinda kwa kishindo kwani ni wa palepale bahi tofauti na wewe wa kuja
Ndugu zangu wanaJF,jimbo la bahi ni moja ya majimbo hapa nchini yanayoongozwa na CCM tangia mfumo wa vyama vingi uanze na kabla ya.ndugu zangu sifa zote ninazo za kugombea na nia ya dhati kabisa ninayo.

Ninasikia kuna viwatu vinapitapita huko na kudanganya danganya wananchi wangu,naomba waache mara moja. Wananchi wangu CHADEMA ni yenu na yetu sote, mbunge wenu nakuja na naomba msiwasikilize wapumbafu wanaokatiza katiza huko.

Mwenye mawazo ya kunisaidia tafadhari mnaweza kunishauri kwa lolote,karibu wanajamvi.
 
Ndugu yangu komaa tu jimbo halina mwenyewe kwa sasa kama ni maswala ya nyumba ukifanikiwa kuwa mbunge utapata mkopo usiyo na riba, nunua gari na nyingine jenga, halafu ukiwa mbunge mikopo nje nje,, maposho nje nje, Mungu akupe nini. Anza kujipitisha. Ukienda kule mtafute mtu mmoja anaitwa Joshua Mbijili ni alwatani sana pale, zamani alikuwa CCM lakini nadhani sasa kahama atakusaidia kwa vijana wa pale, mikakati hiyo tunakupa.

joshwa mbilinyi namfaham sana,ni jiran yangu pale sokoni.mwanae nyemo joshwa nilimtangulia darasa moja
 
issa ramadhani huna hati miliki ya jimbo na hakuna viwatu bali wapo watu wanapita nikiwemo mimi. wananchi wa bahi ni watanzania na wamo wana ccm wengi zaidi ya wana chadema. usiwe na munkari wala presha, subiri na nia yako kwani hata huko kwenu chadema tayari kuna watu watano nawafahamu wamejipitisha bahi wewe ni wa sita. kwetu ccm sijajua nani mwingine zaidi yangu na mbunge baldwel na mimi naamini mheshimiwa baldwel atavuka mtihani wake unaomkabili na atasimama tena na atashinda kwa kishindo kwani ni wa palepale bahi tofauti na wewe wa kuja

labda tu nikueleze wasifu wangu,nimezaliwa bahi sokoni na nimesoma shule ya msing bahi sokoni.sekondar na vyuo nimesomea sehem tofaut,dodoma mjini,mwanza,dodoma.nipo dar kikaz.uliza ukoo wa mzee mkubajile kama upo bahi sokoni,au mtoto wa mama rehema.watakueleza mimi ni nani au nipm nikueleweshe mimi ni nani
 
Namtambua Mathias Paul Lyamunda mgombea kupitia CHADEMA kaweka kambi mda mrefu sana huku anajenga chama na amewapigania wanabahi mambo mengi sana,kama we ni Kamanda wa kweli nenda tu kwa vike ni haki yako ya kidemokrasia Chadema wanaruhusu ila akisimama Lyamunda utaondoka na kura yako mwenyewe tu.

tatizo la lyamunda amejikita zaidi upande wa kwao makanda,msisi na maeneo ya jiran lakn ukija upande wa mpamantwa,ibihwa pale bahi na ukielekea mpaka chipanga hakuna anae mfaham.na hata huko alipojitangaza amejitangaza kama mtu anawaambia wananchi athar za uchimbaji wa madini kupitia FEMAPO na si swala la kugombea.
 
issa ramadhani huna hati miliki ya jimbo na hakuna viwatu bali wapo watu wanapita nikiwemo mimi. wananchi wa bahi ni watanzania na wamo wana ccm wengi zaidi ya wana chadema. usiwe na munkari wala presha, subiri na nia yako kwani hata huko kwenu chadema tayari kuna watu watano nawafahamu wamejipitisha bahi wewe ni wa sita. kwetu ccm sijajua nani mwingine zaidi yangu na mbunge baldwel na mimi naamini mheshimiwa baldwel atavuka mtihani wake unaomkabili na atasimama tena na atashinda kwa kishindo kwani ni wa palepale bahi tofauti na wewe wa kuja

nipm nikueleze mimi ni nani,na ni nani katika hii nchi
 
Kwa Bahi mkuu umeshachelewa hata kwa chama chochote kile.Chadema tunae kamanda mpambanaji Mathias Lyamunda ,pengine msubiri atakapostaafu 2030.Aise tunampenda balaa na ushahidi wake ni uchaguzi wa ndani wa chama uliopita ambapo alishinda kwa zaidi ya 95% nafasi ya uenyekiti wilaya.
Japo ni haki yako kuchuana nae ila mi naomba usiweke tu jina lako maana najua utapigwa za maoni na mwishowe utupeperushie ndege wetu kwa mitandao isiyo na tija kama ilivyokuwa kwa jimbo la Tarime 2010.
 
Last edited by a moderator:

jamaa anacho kikosea anatumia mda mwing kuzungumza na wanavyuo na pia labda kule maeneo ya kwao makanda.nenda kigwe,chipanga,mpamantwa,nagulo,bahi,chimendeli kaulize kama wanamfaham mathias lyamunda.lingne labda haufaham mim ndie niliekuwa katibu wa chadem bahi,hata huyo lyamunda mwenyewe mziki wangu anaufaham.turisha kutana nae nae mara nying sana.
 
Last edited by a moderator:
Umefanyia nini jimbo la Bahi hata upewe ubunge ?

Tunachagua mtu aliyefanya kitu cha maendeleo kabla hajawa mbunge !
 
sioni sababu ya kukupm kwani kuwa kwano nani ni kwa faida yako mwenyewe. dunia yako chaguo lako..lakini hata ungekuwa nani bado huna hatimiliki ya jimbo, na hili utalithibitisha mwezi mei 2015 kwenye chama chenu na oktoba 2015 kwa wapiga kura
nipm nikueleze mimi ni nani,na ni nani katika hii nchi
 
hata ungezaliwa bahi machinjioni bado huna hati miliki.. wana bahi ndio wenye hati miliki na ndio wataamua wamuazime nani kwa miaka mitano...wewe ni issa ramadhani na utabaki issa ramadhani tu
labda tu nikueleze wasifu wangu,nimezaliwa bahi sokoni na nimesoma shule ya msing bahi sokoni.sekondar na vyuo nimesomea sehem tofaut,dodoma mjini,mwanza,dodoma.nipo dar kikaz.uliza ukoo wa mzee mkubajile kama upo bahi sokoni,au mtoto wa mama rehema.watakueleza mimi ni nani au nipm nikueleweshe mimi ni nani
 
Ndugu zangu wanaJF,jimbo la bahi ni moja ya majimbo hapa nchini yanayoongozwa na CCM tangia mfumo wa vyama vingi uanze na kabla ya.ndugu zangu sifa zote ninazo za kugombea na nia ya dhati kabisa ninayo.

Ninasikia kuna viwatu vinapitapita huko na kudanganya danganya wananchi wangu,naomba waache mara moja. Wananchi wangu CHADEMA ni yenu na yetu sote, mbunge wenu nakuja na naomba msiwasikilize wapumbafu wanaokatiza katiza huko.

Mwenye mawazo ya kunisaidia tafadhari mnaweza kunishauri kwa lolote,karibu wanajamvi.
issa ramadhani mimi ndo mwenyekiti wako wa Wilaya wa Chadema, nakukaribisha tujenge chama. Ila sijawahi kukuona kabisa kwenye harakati zetu za kupambana na CCM sijui uko wapi, hata hivyo zingatia ushauri wa CHRISTURKER tumia lugha nzuri usiwatukane waliokutangulia. Otherwise adui yetu ni mmoja na hatuhitaji kutukanana.
 
Last edited by a moderator:
jamaa anacho kikosea anatumia mda mwing kuzungumza na wanavyuo na pia labda kule maeneo ya kwao makanda.nenda kigwe,chipanga,mpamantwa,nagulo,bahi,chimendeli kaulize kama wanamfaham mathias lyamunda.lingne labda haufaham mim ndie niliekuwa katibu wa chadem bahi,hata huyo lyamunda mwenyewe mziki wangu anaufaham.turisha kutana nae nae mara nying sana.

Hahaahahaha issa ramadhani. Karibu tujenge chama, wenye maamuzi ya nani atapeperusha bendera ya Chadema ni wanachama wa chadema hasa wale wajumbe wa mkutano mkuu kwa maana ya katiba yetu. Hatuna sababu ya kushambuliana mitandaoni, kazi tuliyonayo ni kujenga chama kwa kiwango hata kama utasimamishwa wewe basi uwe na uhakika wa kukiletea chama Ushindi. Cc @Sir E.J.Buyamba
 
tatizo la lyamunda amejikita zaidi upande wa kwao makanda,msisi na maeneo ya jiran lakn ukija upande wa mpamantwa,ibihwa pale bahi na ukielekea mpaka chipanga hakuna anae mfaham.na hata huko alipojitangaza amejitangaza kama mtu anawaambia wananchi athar za uchimbaji wa madini kupitia FEMAPO na si swala la kugombea.

Hahahahaaaa issa ramadhani, jina lako linafanana na la Katibu wangu mwenezi wa Chadema Bahi. Au wewe ndo yule mtoto wake. Karibu tujenge chama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom