Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

CCM hawana lolote. Hawana hoja ya msingi kuhusu Lowasa zaidi ya majungu; na kutumia hizo tuhuma kama kete ya kisiasa. Hakuna mwenye ubavu (kwa ng'ombe wenye na wasio na mikia) wa kumpeleka Lowasa mahakamani. They know how hopeless they are.
 
Magu mwenyewe anasema anadili na ufisadi wa miaka mitano iliyopita, je ndani ya hiyo miaka Lowasa alihusika na nini?
Ha ha ha yaan anaweka mipaka ya muda sisi tunataka aanzie na ufisadi uliotokea wakati wa utawala wa mr. Clean
 
Tuwekee na Hotuba ya Mwembe Yanga ya Chadema iliyozaa List of shame na Edward Lowassa akiwa mmoja wa watu waliokuwa kwny orodha hiyo ya Mafisadi papa nchini
 
Tuwekee na Hotuba ya Mwembe Yanga ya Chadema iliyozaa List of shame na Edward Lowassa akiwa mmoja wa watu waliokuwa kwny orodha hiyo ya Mafisadi papa nchini
Neno fisadi Papa ni msamiati wa Lipumba!! Hapa awe ni fisadi papa au dagaa tunachotaka apelekwe mahakamani!!
 
Neno fisadi Papa ni msamiati wa Lipumba!! Hapa awe ni fisadi papa au dagaa tunachotaka apelekwe mahakamani!!
Umepoteza Kumbukumbu, alieleta msamiati wa Fisadi Papa kwa mara ya Kwanza ni Reginald Abraham Mengi akiwata Wahindi watano Rostam Azizi, Somaiya, Jeetu patel, Somaiya na Yusuf Mehboob Manji kuwa ndio Mafisadi wakubwa zaidi wanaoharibu nchi.

Lakini Baada ya Chombo kwenda mrama na Lowassa kuhamia Chadema Reginald Mengi na Rostam wakawa kwny Timu ya Kampeni ya Lowassa na bifu likaisha na hatimae List of shame ikaondolewa kwny tovuti ya Chama na tabia ya kutaja taja jina la Rostam kama Fisadi ikakoma kabisa
 
Mnasema hapa kazi tu ndo hii ya kukesha kutwa nzima na lowasa mitandaoni kafungue kesi
 
Umepoteza Kumbukumbu, alieleta msamiati wa Fisadi Papa kwa mara ya Kwanza ni Reginald Abraham Mengi akiwata Wahindi watano Rostam Azizi, Somaiya, Jeetu patel, Somaiya na Yusuf Mehboob Manji kuwa ndio Mafisadi wakubwa zaidi wanaoharibu nchi.
Hayo uliyoyasema hapo yanazuia Lowassa kushitakiwa!
 
kwa hii serikali dhaifu ya ccm usitegemee kitu kama hicho. afu sasa cha ajabu utaendelea kuishabikia hiyo serikali wakati haiwezi kuchulia hatua za kisheria watuhumiwa, sasa sijui utakuwa mtu wa aina gani?!
Kwani hiyo Chadema ndiyo inaweza? Kama mtu mmoja anakinunua chama nyie mnategemea nn
 
Hayo uliyoyasema hapo yanazuia Lowassa kushitakiwa!
mie nimekukumbusha kutuwekea hotuba za Mwembe yanga za Viongozi wa Chadema zilizozaa List of shame, mbona hotuba ya Lowassa siku anajiuzulu umeiweka bwa shee?
 
mie nimekukumbusha kutuwekea hotuba za Mwembe yanga za Viongozi wa Chadema zilizozaa List of shame, mbona hotuba ya Lowassa siku anajiuzulu umeiweka bwa shee?
Kila jambo na wakati wake, hapa ni hoja ya kutaka Lowassa ashitakiwe!!
 
Kila jambo na wakati wake, hapa ni hoja ya kutaka Lowassa ashitakiwe!!
Sasa hotuba ya utetezi ya Lowassa inahusikaje na kushtakiwa kwake halafu ukatae ya Chadema ya kumtuhumu?
Tuhuma za udokozi amekuwa nazo Bosi wako tangu 1995 miaka 9 kabla halijaja la Richmond waulize wakubwa zako kipi kilisababisha jina lake likatwe 1995 wakati wa Mwl Nyerere akiwa na ushawishi Kizota Dodoma?
 
Hakuna kiongozi wa CCM anayeweza kufanya hili..Huyu mtu namkubali sana,hiyo speech yake ilionyesha ni kiasi gani ndani ya serikali ya CCM kuna uvunjifu wa haki za kikatiba. Viva Lowasa,you will always be remembered for everything you have done in this country.
 
Walioingiza Jina la Lowassa kwny List of shame walikuwa Viongozi wa CCM?
 
Tuhuma za udokozi amekuwa nazo Bosi wako tangu 1995 miaka 9 kabla halijaja la Richmond waulize wakubwa zako kipi kilisababisha jina lake likatwe 1995 wakati wa Mwl Nyerere akiwa na ushawishi Kizota Dodoma?
Mimi nilikuwepo Kizota wewe unasikiliza hadithi za mitaani. Mwalimu aliyepata shida kuishawishi Halmashauri Kuu imwalike mwaka 1993 ndiyo awe na nguvu ya kumkataa Lowassa? Lowassa alitoa jina lake kama mkakati wa kumsaidia Kikwete kwa kuwa ni Kikwete ndiye alikuwa na ushawishi kwenye chamachao kuliko yeye, lengo likiwa akipata Kikwete na yeye atakuwa amepata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…