Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,921
- 50,948
- Thread starter
-
- #61
Hoja hapa si kujua kama Lowassa anafaa ama umepita muda wake. Tunataka kujua hatima ya "ufisadi" aliofanya kwenye Richmond!!Lowassa is out of date.....tuangalie waasiasa vijana wenye maono mapya
Mkuu bado hujamsoma huyo mleta madakwa hii serikali dhaifu ya ccm usitegemee kitu kama hicho. afu sasa cha ajabu utaendelea kuishabikia hiyo serikali wakati haiwezi kuchulia hatua za kisheria watuhumiwa, sasa sijui utakuwa mtu wa aina gani?!
Mambo ya ndani ni mambo ya Muungano na Ripoti yake hupelekwa kwa Rais wala si Waziri Mkuu. Kumwita kwamba ni Waziri Mkuu wa Tanzania ni kiini macho tu, hana madaraka Zanzibar. Kwa mfano undhani ana madaraka gani Zanzibar?Hakuna waziri mkuu wa Tanganyika ,tuna waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania full stop
Siku njema
Bunge kama muhimili unaojitegemea lilishatoa maamuzi. Adhabu aliyopata Lowassa ya kufukuzwa uwaziri kwa kibunge inatosha.Hoja hapa si kujua kama Lowassa anafaa ama umepita muda wake. Tunataka kujua hatima ya "ufisadi" aliofanya kwenye Richmond!!
Nimeshakuelewa sana, nisamehe bure mkuuNdiyo maana sisi wengine ambao tunaiona hii serikali ni Imara tunaihamasisha wampeleke Lowassa kwenye Mahakama ya Ufisadi, kinyume cha hapo wakae kimya!!
Tunashangaa kazi yao ni kuzunguka majukwaani kama vile hawajui Lowassa anaishi wapi!!Kuna siku Prof.Beregu alisema jambo la msingi sana kwamba sasa Lowasa yupo peupe njooni mumshike
Hiyo mahakama haiwezi kufanya kazi hadi pale katiba mpya itakapo patikanaNi kweli lazima ashitakiwe kama mshtakiwa wa Kwanza. Hata Mimi pamoja na UKADA wangu naona dhahiri Richmond ilikuwa galasa la kisiasa kwa EL. Mwakyembe alifanya siasa na kamati yake ili kuweza kumwepusha MTU mwingine na kikombe kile. Basi apelekwe Mahakama ya Mafisadi akahukumiwe baada ya kuhukumiwa na Mwakyembe the lawyer..
Na kwa kuuza mashirika ya umma na nyumba za serikaliMimi pia ningependa lowassa na sumaye wspandishwe kizimbani, mmoja ajibu tuhuma za ufisadi,mwingine matumizi mabaya ya madaraka na mauwaji ya watanzania huko visiwani.
Adhabu kwa kosa gani?Bunge kama muhimili unaojitegemea lilishatoa maamuzi. Adhabu aliyopata Lowassa ya kufukuzwa uwaziri kwa kibunge inatosha.
Come on mmawia! Umeelewa Lakini?Uteuzi umeshaisha dogo labda usubiri uteuzi wa watendaji wa vijiji
Hivi waziri mkuu ni nani ?? Ni kiongozi wa shughuli zote za serikali sio ? Na raisi ni nani ?? Ni mtu mmoja sawa lakini ile ni taasisi ,maana ya taasisi ni kwamba hata kama report inakwenda moja kwa moja kwa rais ila kuna watu wake ambao wanahusika naye na huwezi kuniambia waziri mkuu hawezi kuwa mmoja wa hao watu ,mpaka hapo nimeshakupa mfano mmoja wa jinsi waziri mkuu anavyowajibika na Zanzibar kwa mfano wa Ripoti ya KitwangaMambo ya ndani ni mambo ya Muungano na Ripoti yake hupelekwa kwa Rais wala si Waziri Mkuu. Kumwita kwamba ni Waziri Mkuu wa Tanzania ni kiini macho tu, hana madaraka Zanzibar. Kwa mfano undhani ana madaraka gani Zanzibar?
Kama wanashindwa kufungua Kesi mbona wana wepesi sana kufungua midomo yao na kubwabwaja mambo wasiyoyaweza? Kama Lowassa ni fisadi basi kesi yake iwe ya kwanza kufikishwa kwenye Mahakama ya mafisadi!!Kazi kubwa huwa kufungua kesi!
Nimemuelewa na tayari nime muomba radhiCome on mmawia! Umeelewa Lakini?
Hiyo mahakama itaishia kwenye vitabu tuMleta mada utasababisha ujenzi wa hiyo mahakama usitishwe haraka sana maana unaonekana unadondosha mbegu za mahindi ili kuku aingie kwenye mtego.
Haya mkuu!pamoja sanaNimemuelewa na tayari nime muomba radhi